hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Unabeti soma hii Essay aliyowahi kuiandika Mraibu wa Betting Mark Kempster. Sasa hivi kaacha kabisa kuangalia vipindi vya michezo

    Nilipokuwa na miaka 19 na kufanya kazi kwenye baa, nilikuwa nikiwacheka sana watu waliokuwa wanacheza kamari kutwa nzima. Nilijiona bora zaidi yao na kuwaza, "Hawa watu wana akili dhaifu," kwa jinsi walivyokuwa wanapoteza maisha yao kwenye zile mashine. Lakini mambo yalibadilika pale ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Umeichakata mbususu asubuhi hii?

    Kuichapa asubuhi, ni muhimu na ni nzuri kiafya. Hakuitaji maandalizi kwani mbususu inakuwa imejaa mafuta ya kutosha hivo ni mwendo wa kuteleza tu. Kabla ya kuanza hakikisha kwanza unampigisha mwenza wako msaki na mjuluba, kwani yale mate ya asubuhi ni dawa ya kurefusha na kunenepesha mjuluba...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Chadema imeshindikana ndo maana akina Heche wana jeuri

    Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Likizo hii umemuandalia mtoto sehemu ya kujifunza stadi za kazi za kumuandalia ujuzi wa kujiajiri au unaendelea kumkomalia na tuisheni ?

    Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha? Ukweli mchungu ni kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

    Habarini wakubwa, Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza. Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single. Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
  6. JamiiForums Tanzania Ati wachumi hii imekaaje?

    Mjukuu wangu ananijuza, babu kuliko kuweka fedha bank na kununua hisa, Kwanini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu? Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza. Kwa hiyo na mimi nawaulizeni ninyi mananke mie si mtaalamu wa inflation....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe Buza ni sehemu nzuri namna hii

    Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??

    Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??
  10. JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli: Baada ya kutoka Urusi kaenda Oman Ujombani?

    Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia. Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Putin na Hassan combination hii inamaana gani?Samia ni Mama

    Mheshimiwa Rais Vladimir Putin mnadhani hajui kilichotokea Oktoba 2025 lakini jibu ni simple tu. UKweli ni Kilichotekea ni sheria imefanya kazi yake na ndiyo maana kaungwa mkono na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin .
  13. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya Aziz Ki akifunga ndoa ni halisi?

    Wakuu nimekutana na watu wanapost huko X kuwa Mchezaji Aziz Ki amevuta jiko lingine
  14. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe hii Shule ya Msingi KIBISI mmeamua kuipotezea?

    Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki ~ Halmashauri...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Urojo Mtaaamu, tumia mbinu hii

  17. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma. Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ya Makonda na wasanii imebuma, na hii ya Russia itabuma

    Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe. Haujitaji mtu kuutetea. Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano.

    Kumekucha wazee? Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25. Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?, Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…