hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kupitia picha hii?

    Asee 🤔 Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo.
  2. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Kamata hii!

    Wakati wa kununua ng'ombe, usinunue kijijini kwako. Kwa sababu siku moja ng’ombe akienda mtoni kutafuta maji au kunywa maji, na mwenye ng’ombe wa zamani aliyekuuzia akimuona anaweza kumuelekeza aende nyumbani kwake, atamkamua kisha atamuachia ili arudi kwako. Hatimae Baadaye utakapojaribu...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Soma hii halafu uniambie mashabiki wa timu gani ni mbumbumbu

    Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama.... Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere. Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
  5. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Yaani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa?

    Najaribu kuwaza na kufikilia unampaje mtoto jina hata hanazaliwa? Wanasiasa wa Tanzania ni watu wenye vituko kuliko. Yani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa. Hivi munaiibiwaje kabla kura hazijapigwa? Wanasiasa wa Tanzania 🇹🇿 munatuaibisha. Na wapa ushauri ingieni vijijini mkauze Sera zenu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye hii story

    https://twitter.com/INFLUENCERjr/status/1825939604475883727?t=Py1DhG3ZNuqOUE-_d0wNdA&s=19
  8. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya nguo hizi zinazovaliwa na madiwani wetu

    Habari, kuna hii destruri ya madiwani kuvaa nguo aina ya majoho wawapo kwenye vikao vya halmashauri. Binafsi sioni faida yao kuvaa hivyo kwasababu halmashauri zenyewe changamoto zipo vilevile miaka nenda rudi. hoja yangu ni kuwa hayo manguo hayana faida kuvaliwa, na laiti yangekuwa na faida...
  9. Herbalist Mtaturu

    JamiiForums Tanzania Jamani hii nchi mbona kodi na tozo zimezidi mno?

    Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa. Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Hai kijiji cha Tindigani ndicho chote kapewa Mjomba wa Omani? Hii sio sawa

    Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya. Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kumuhamisha kitengo kunaleta lakini wa uchunguzi wa kesi za polisi,je hii kesi imeishia hapa au uchunguzi unaendelea?

    Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni malaya. Tunahitaji taarifa na hukumu ya kesi hii iende mahakamani.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  14. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo? Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

    Mimi nauliza tu, Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
  16. X

    JamiiForums Tanzania Hii ni zaidi ya laana, ona kinachofanywa na huyu mama na mwanae wa kiume

    Mcheza porno za OnlyFans aitwaye Andressa Urach (36) anamtumia mwanae wa kiume aitwaye Arthur Urach (18) kurekodi video na picha za ngono kwa ajili ya kupost kwenye akaunti yake ya OnlyFans. Hiki ni kipande cha video ya interview waliofanyiwa mama na kijana wake. Ukisoma subtitle hapo chini...
  17. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  18. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Kwa jambo hili nipo sawa?

    Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya shida, nikamwambia sina hela hadi nitafute, na nitamrudishia bila ya kukata gharama ya usumbufu...
  19. gammaparticles

    JamiiForums Tanzania Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

    Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika https://www.ndctz.go.tz/publications/joining-instruction
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubaatisha inalijuwa majukumu yake? Usimamizi wa Serikali kwenye hii bodi ukoje?. Ama ndio mwenye kupata apate mwenye kukosa hakose

    Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na: Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
Back
Top Bottom