Yaani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa?

tufahamishane

Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
28
Reaction score
30
Najaribu kuwaza na kufikilia unampaje mtoto jina hata hanazaliwa? Wanasiasa wa Tanzania ni watu wenye vituko kuliko. Yani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa.

Hivi munaiibiwaje kabla kura hazijapigwa? Wanasiasa wa Tanzania 🇹🇿 munatuaibisha.

Na wapa ushauri ingieni vijijini mkauze Sera zenu. Jengeni ofisi mpaka mitaani. Sogerea wana nchi kwa kushiriki kazi za maendeleo. Mkikataa ushauli wangu kila mwaka mtalia kuibiwa kura.na kumbe hamjaibiwa mmekataliwa
 
Unataka walalamike baada ya kuibiwa sio?

Kwako huu ndio uchaguzi wa kwanza eeenh?
 
Najaribu kuwaza na kufikilia unampaje mtoto jina hata hanazaliwa? Wanasiasa wa Tanzania ni watu wenye vituko kuliko. Yani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa.

Hivi munaiibiwaje kabla kura hazijapigwa? Wanasiasa wa Tanzania 🇹🇿 munatuaibisha.

Na wapa ushauri ingieni vijijini mkauze Sera zenu. Jengeni ofisi mpaka mitaani. Sogerea wana nchi kwa kushiriki kazi za maendeleo. Mkikataa ushauli wangu kila mwaka mtalia kuibiwa kura.na kumbe hamjaibiwa mmekataliwa
Utakuwa mkimbizi from Burundi unayetafuta urais wa Tanzania kupitia uchawa! Aina yako ya uandishi inaniaminisha hivyo! Tafadhali, usijaribu tena njia hii kwani ni hatari!
 
Najaribu kuwaza na kufikilia unampaje mtoto jina hata hanazaliwa? Wanasiasa wa Tanzania ni watu wenye vituko kuliko. Yani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa.

Hivi munaiibiwaje kabla kura hazijapigwa? Wanasiasa wa Tanzania 🇹🇿 munatuaibisha.

Na wapa ushauri ingieni vijijini mkauze Sera zenu. Jengeni ofisi mpaka mitaani. Sogerea wana nchi kwa kushiriki kazi za maendeleo. Mkikataa ushauli wangu kila mwaka mtalia kuibiwa kura.na kumbe hamjaibiwa mmekataliwa
Kwani uchaguzi huu unafanyika kwa katiba na tume ipi ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom