hiari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

    Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa...
  2. Financial Analyst

    Ukiangalia stori za dini zote hapa dunia zilifikishwa kwa watu kwa hiari ila kuna hio moja ilibidi watu wafanyiwe fujo ndio wengine wapokee kwa lazima

    Tena kwa mauaji na unyang'anyi. Nisengependa kuwataja ila mnawajua na watakuja kwenye comment kutisha watu maana wanajijua🤐
  3. M

    Shetani apumzishwe tuache kumlaumu katika kila dhambi, vitu vingi tunafanya kwa hiari yetu wenyewe

    Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote, Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili. Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
  4. Kinoamiguu

    Bora Tonetone ya Hiari kuliko Harambee ya Mabwenyenye na Walanguzi

    Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Timu zote za mpira lazima zifanye AUDITING ya matumizi yake na haitakuwa hiari

    Timu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi- NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU ZA LIG KUU NA LIGI DARAJA LA PILI KUFANYA AUDITING NA KUISOMA KWA WANACHAMA WAO NA KUIBANDIKA KWENYE...
  6. Heritage123

    Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
  7. Mshana Jr

    Watabiri wa hiari vs wa mchongo

    Kuna simulizi ya Bible kule Misri kuna fimbo ya muujiza ya Haruni ambapo alipoibwaga chini mbele ya Farao ikageuka nyoka.. Farao alipoona vile naye akawaita wachawi wake wote maarufu nao wakaja na fimbo zao wakazibwaga chini na kugeuka nyoka.. Ila nyoka aliyetokana na fimbo ya Haruni akawala...
  8. Samadebe

    Alikataa kila kitu kwa hiari yake… miaka 4 baadaye anarudi Mahakamani kuidai alichokataa.. Nautua mzigo

    Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini. "Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila...
  9. S

    Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  10. Brain Kingdom

    Je, ushawahi kukutana na mwanamke anaeteseka na sonona kwa sababu amekeketwa bila hiari yake?

    Tuanze na wanawake wa Mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Makabila Wambulu, Wamangha'ti, wagogo, wanyaturu, wakurya, wajaluo wajita, wanyiramba, wapare, wachagga, wamaasai, Wambugwe, Wadatoga, wasonjo etc. Karibu kwa wenye visa kadhaa kuhusu kadhia ya sonona za...
  11. E

    TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  12. DELETED ACCOUNT

    Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  13. Brain Kingdom

    Chama chetu vyama vyetu vya msingi na lazima ni Tanzania, Utu na Ubinadamu, CCM haiwakilishi Tanzania kwa ujumla wake , CCM ni mchepuo hiari kisiasa

    Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu. Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda. Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Njia ile ni nyembamba...
  14. ngara23

    Kisheria ikoje ikiwa mtu ataahidi kufanyiwa kitu kubaya Kwa hiari yake

    Leo match kati ya Simba na Yanga Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa Mfano Mwijaki ameahidi Yanga akimfunga Simba basi mke wake ni halali yetu wanayanga Mwingine ameahidi akatwe kende...
  15. GENTAMYCINE

    Dogo Dulla acha Kulazimisha Baba Mkwe wa Hiari amrithi Msomali pale Lumumba Dar es Salaam na Kizota Dodoma sawa? Atamharibia Mazeri

    Baba Mkwe wa hiari huyo alipokuwa Umoja wa Waliotuzaa Chamani aliharibu na kaacha Kashfa nyingi tu. Hafai huyo.
  16. The Sheriff

    Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

    Mwombaji wa kwanza wa hifadhi amepelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Mtu huyo ambaye hajatajwa jina amekwenda Kigali baada ya kupewa pauni 3,000 ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuwalipa kila muomba hifadhi nchini humo atakayekubali kwenda Rwanda chini ya mpango wa...
  17. SteveJr99

    Mume kumsaidia mke kazi nyumbani siku ambayo haendi kazini ni wajibu au hiari?

    Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii...
  18. K

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia Mkataba na Kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
  19. Stephano Mgendanyi

    Wananchi wapewa rai kujitokeza kupima kwa hiari VVU

    WAZIRI MHAGAMA: JITOKEZENI KUPIMA VVU KWA HIYARI Wito umetolewa kwa wananchi kuendelea kujitokeza kupima VVU kwa hiari ili kujua hali zao ili kuendelea kuishi kwa kuzingatia matokeo, kwa wale ambao hawatakutwa na maambukizi ni nafasi kwao kuendelea kuishi ili wasiambukizwe na wale ambao...
  20. Brain Kingdom

    Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
Back
Top Bottom