hello

  1. Dr. Zaganza

    Hello Kenyans, Naomba contacts za wauza old cosmetics hizi

    Dr Mussa Zaganza: I am looking for these old cosmetics They are sold at Isirii shops : Plaese help me to contacts of sellers My number is : +255 713 039 875 Dr.Mussa Zaganza Pamoja, tunaweza!!
  2. M

    Hello fam it is me beautiful girl

    Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
  3. Hata najua basi

    Hello Dodoma

    Hello wana October natarajia kusafiri kuja dodoma ni sehem gan nzuri ya kufikia kwa mtu asie na mwenyeji 🙏
  4. A

    Hello Hello naomba mnipokee

    Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
  5. Dignah

    Hello

    Habarini wana JF, Poleni na majukumu. 1. Natoa huduma ya kuandaa Deed Poll( Change of names) Kubadilisha majina yaliyopo kwenye vyeti kama yamekosewa Cheti cha kuzaliwa Cheti cha NIDA Vyeti vya shule Gharama zake ni 150,000 vinakuwa attested na Mwanasheria na kuwa verified kwa Registrar (...
  6. R

    Gharama za uhamisho halmashauri ni bei gani?

    Gharama za posho za uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda nyingine ni kiasi gani? Na je halmashauri utokayo hutalipwa chochote? Nazungumzia uhamisho wa serikali
  7. Ma mee

    Naomba mnisaidie procedures za kuanzisha Dispensary

    Hello wapendwa naomba mnisaidie procedures za kuanzisha dispensary.
  8. W

    hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

    karibu
  9. Baba Swalehe

    Hello world

    Hello world I hope you are fighting your battles well both poor, middle income and rich I hope you win And i hope you don't stop believing Love
  10. EDIGAR JO

    HELLO NAOMBA MSAADA

    Nipo na kikundi ninachokisimamia mimi binafsi na maelezo kamili kuhusu huduma zetu 🏡 LUNO GROUP – UBORA WA UJENZI UNAOWEZA KUAMINI! 🏡 Mshirika Wako Anayeaminika Katika Kujenga Ndoto Zako Dodoma 🌟 Unatafuta huduma bora za ujenzi kwa bei nafuu? Katika LUNO GROUP, tunatoa huduma kamili zenye...
  11. Mr Anova

    Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  12. Top Gun

    Habari mimi ni mpya humu

    Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
  13. RaJhumoR

    Hello JamiiForum users

    I have woken up to a harsh day, I have a critical fever from malaria exposure,
  14. KOMBO ALI

    Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  15. M

    Mimi ni mgeni hapa, nikimaanisha nimejiunga na JF mwezi uliopita

    Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa. Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au...
  16. Jewel_

    Hello future Hubby

    Wakuu Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu Natafuta mume sio mpenzi SIfa zangu 1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi Sio mnene wala mwembamba Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha Ni mkristo mkatoliki Sina mtoto wala sijawahi kuolewa Naishi Dar Nina miaka 32 Mwanaume...
  17. zerocreys

    Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  18. Dignah

    Naomba kujua kutoka kwenu

    Poleni na Majukumu wana JF Nilikuwa naomba kujua kutoka kwenu, kuna mdogo wangu amepata kazi kwenye kitengo cha “STOCK AUDIT & MANAGEMENT “ hivyo hajawahi kufanya hii kitu so nilikuwa naomba msaada kutoka kwenu je Stock audit na accountant wa ofis ni watu tofauti? na je stock audit na accountant...
  19. S

    Misdemeanor and gross misdemeanor!!

    Hello everyone 👋!! Mnaendeleaje na hali ndugu zangu poleni kwa majukumu! Naomba msaada tofauti kati ya MISDEMEANOR and GROSS MISDEMEANOR (First year student at MZUMBE UNIVERSITY)
Back
Top Bottom