hello

  1. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  3. Sina Ndugu

    JamiiForums Tanzania Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  4. 1999s

    JamiiForums Tanzania Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

    As the the heading is read above, just need your cooperation.
  5. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Hello,, nahitaji xiaomi redmi note 12s

    Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hello tunatengeneza furniture mbalimbali x

    Hello wanajukwaa niwakaribishe kwetu utapata godoro aina zote pia furniture mbalimbali za kupendezesha nyumba/chumba chako Tuna vitanda Kabati Sofa aina zote Ð
  7. Be calm

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta msaidizi wa kazi tuwasiliane

    Age:18 yrs old, Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka. Maelezo mengine ni inbox wapendwa
  8. instagramer

    JamiiForums Tanzania Hello, how y'all doing?

    Am new to the forum, kindly invite me in a warmly welcome note... I don't speak and write much Swahili... But 'll try out... Ciaao joh
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hello JamiiForums

    Napenda saaana JamiiForums
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hello, Rashidi Fukwa a new member here!

    Hello group, I am a new entrant!
  11. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania I need a friend to text me love me and share good things

    I need a friend to text me love me and share good things
  12. Beesmom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

    Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani? Nashauri hivi, tembelea ndoto yako, usiforce mambo kwa sababu fulani. Maisha ni wewe, ukiumia ni wewe, ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu, siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki. Je,hapo...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hello , nipeni muongozo wa kupata pesa za mkopo wa hazina kwa mtumishi wa umma.

    Natanguliza Asante
  14. Anchor g

    JamiiForums Tanzania Hello, New Member

    Mgeni kutokea +254, love you all jamii members
  15. Termux

    JamiiForums Tanzania Hello JF Termux

    Naitwa termux from (Tanganyika) Darusalaam Tupambane kwa ajili ya Tanzania bora na ya wazalendo. •Nina furaha kujiunga na JF Tanganyika kwanza (Tamaduni zetu na maadili yetu ) #Dini zilikuja #Jina lilikuja #Siasa zilikuja
  16. V

    JamiiForums Tanzania New Member

    Hello JF members, happy to join you.
  17. Elijah08

    JamiiForums Tanzania Hello JF members

    Naitwa Elijah from A town city nina wiki moja apa JF •Nina furaha kujiunga na JF Naombeni mnipokee
  18. Nakimbizwa

    JamiiForums Tanzania Hello jeiefers, new member hiya

    Hello, Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi. Asante
  19. Chipkiz

    JamiiForums Tanzania Hello

    Mimi naitwa chipkizy aka hotxun nimekuja kupata elimu bora kutoka kwenu Asante
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
Back
Top Bottom