hela

  1. JamiiForums Tanzania Kijana aliyesaidia kuokoa abiria ajali ya Precision Air asipewe hela

    Nimeona mkono wa Pongezi kutoka kwa RC Chalamila kwa ushupavu wa kijana mmoja aliyepiga kasia na kuingia ndani ya maji na kufungua mlango jambo lililosadia kuokoa abiria 24. Ni jambo zuri, USHAURI wangu, huyo kijana aingizwe katika jeshi kitengo cha uokozi wa majini. Itakuwa ni kumbukumbu nzuri...
  2. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Hela mliyompa 'Mtu' wenu aifikishe kwa 'Refa' wa Leo ili mshinde 'nyingi' ameifikisha kweli?

    Kilichonifanya GENTAMYCINE niulize hili ni kwamba Gari yake ina miezi Mitatu sasa ni Mbovu ila leo iko Mtaani anapiga nayo Misele na Rangi kaibadilisha pia. Pia kuna Viwanja Vinauzwa huko Chanika cha Kushangaza kanipigia anasema Kesho Alhamisi nimsindikize akanunue Vitatu. Na sijui ni kwanini...
  3. JamiiForums Tanzania siasa ni dili ,hawagombei ili washike dola! wanagombea wapate hela!

    Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga makelele, lakini hawapo sirias na kile wanatuaminisha! Wapata wafadhili lukuki wakati huo !watu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  5. JamiiForums Tanzania Mume wa dada ni yule ambaye Hana hela .

    Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela. Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k
  6. JamiiForums Tanzania Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wenye mapenzi na sisi ni mama zetu waliyotuzaa tu

    Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja. Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia? Bora angekuwa mpenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupiga hela ya maana kwenye haya madubwi ya mtaani?

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawafundisha kanuni rahisi ya kutunza hela

    Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka kukazwa jirani na mtaa unaoishi. Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe. Nilikuwa siwezi kutunza pesa...
  12. JamiiForums Tanzania Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

    Wahenga walisema tamaa iliua fisi. Nyumba imeenda, pesa imeenda. Sijui niwalaumu Brela, sijui niwalaumu Usalama wa taifa? Sijui nimlaumu yule dada aliyekuja kunishawishi? Mshana Jr, nitafutie ndumba ya kuwafuta wote waliosababisha niwe zuzumagic, mpenda miujiza, niliyejawa na tamaa ya fedha na...
  13. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

    Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume JamiiForums wanaadhimisha wiki ya kulia lia kuombwa hela na wanawake

    Ni ajabu watu wanataka kubadilisha mboga wakati hawamudu. Watu wagumu kuelewa, utandawazi umeongeza mahitaji ya binadamu, bando, usafiri, simu nzuri, saluni, kodi ya pango na mengine mengi huko nyuma hayakuepo. Ni ajabu mtu anataka mwanamke wa miaka ya 80 kule kijijini hakuna simu, hakuna saluni...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Akili ze Brain apewe asilimia ya mauzo na si hela ya mkupuo kwenye wimbo wa Jugni x Mond

    Diamond amechukua vionjo vya ngoma ya Akili ze Brain inayoitwa Regina, akaenda kuomba kushirikiana na nyota mkubwa India mwenye mashabiki mabilioni na sasa kwa kutumia ubunifu wa Akili ze Brain na ustaa Jugni huko kwenye digital platform pesa zinaingia kila sekunde na ni nyingi zaidi ya matundu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuota naokota hela, hii ndoto ina maana gani?

    Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea. Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wangeweka mzigo (betting) wangevuna hela

    Hao watatu walisema Simba itashida 3-0. Huyo mmoja naye akasema Jenerali Moses Phiri atafunga goli. Yote hayo yametokea
  18. U

    JamiiForums Tanzania Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

    Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana. Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video. Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video...
  19. JamiiForums Tanzania Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

    Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo. Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi. Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo lililofanya nijuane na mama yake kwa kipindi hicho ni kibaya sana na hatua aliyochukua ni mbaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…