Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako.
Ukiwapigia simu wanakwambia tumeona una accounts zaidi ya moja za Premier Bet ilihali sina na pesa...
Anonymous
Thread
bet
bodi
bodi ya michezo
hela
michezo
michezo ya kubahatisha
premier
premier bet
yako
Kwenye maisha ya mwanadamu hapa duniani, pesa sio kila kitu… lakini ukweli usiosemwa mara nyingi ni kwamba pesa inatatua karibu asilimia 99% ya changamoto tunazokutana nazo. Ukikosa pesa kwenye dunia ya sasa, ni kama umejitenga na mfumo mzima wa maisha. Unakuwa kama unaishi pembeni ya dunia...
Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo!
Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
Vipi ulijisikiaje yaani unajikuta hujatarajia na hauna hela siku hiyo ila mara paap! Unaingiza mkono mfukoni kisha inakutana na hela ambayo hukumbuki ulioweka lini.
Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka.
Dar...
@prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA
@prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
afrika
afrika mashariki
grace samia suluhu
hali
hali ngumu
hela
kitendo
mashariki
mtu
mwema
ngumu
rais
rais samia
samia
samia amuasili mtoto mchanga
samia suluhu hassan
sio
umma
wakati
wazungu
who
Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi.
Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha...
Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka chuo cha nkinga health institutes.
Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadae hiyo hela hawakupewa bali...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini.
Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
Anonymous (c723)
Thread
ajira
ajira mpya
buchosa
hela
kilio
kujikimu
mpya
mwaka
mwaka 2025
mwanza
Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!
Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi
Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.
Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea...
Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro.
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo.
Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
Anonymous
Thread
afya
afya ya binadamu
afya za watumiaji
binadamu
chafu
hata
hela
holela
kero
kila mwezi
kiunganishi
kuchukua
kuepuka
kutokana
magonjwa
magonjwa ya mlipuko
mamlaka
mawenzi
mjini
mlipuko
mvua
mwezi
nyakati
soko
uchafu
ushuru
viongozi
wakazi
wateja
watumiaji
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.