heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Heche kuwa makini usiharibu mambo.CHADEMA hii sio ya kupokea makapi ya CCM

    Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM Umekosea sana.
  2. kavulata

    Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

    Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama. Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari...
  3. Waufukweni

    GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA. Akizungumza nje ya Mahakama...
  4. Technophilic Pool

    Heche adai kua Mwanza ingekua kama Shenzhen Kama nchi ingekua na viongozi wenye maono!

    JE UNAONA NI KWELI?? Maendelel makubwa na kitovu cha utalii
  5. E

    Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

    Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
  6. Idugunde

    Mamilioni ya Watanzania waunga mkono kauli ya Heche. Ni kuhusu kutoogopa viongozi wanaoua na kuteka watu

    Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono. Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa wala kujipendekeza kwa viongozi wanaoua na kuteka watu. Kauli hii imeungwa mkono na Watanzania...
  7. R

    GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  8. chiembe

    GE2025 No Reform, No Election yapingwa kila kona, mchungaji ampiga marufuku Heche kuongelea mada hiyo msibani Arusha, Heche aufyata

    Hakika watanzania wameamka, wameona kampeni hiyo ni utapeli wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga amani ya nchi. Baada ya kauli hiyo Heche na Golugwa walionekana kutahayari kama wanataka kukimbia
  9. chiembe

    Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  10. E

    GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  11. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  12. The Watchman

    GE2025 Mahakama yafafanua zuio la CHADEMA, zuio linawahusisha Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
  13. BigTall

    PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  14. Waufukweni

    John Heche akata Keki ya Birthday Mahakamani

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
  15. Mto wa mbu

    Heche kuna kigogo ndani ya CCM aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili wa ubunge.

    Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha. Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms. Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili. Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
  16. P

    Interview ya Heche iko edited

    Waliofanya hii editing Mungu anawaona. Huu ni upotoshaji na Heche ana haki ya kuwafungulieni mashitaka. Video hapo chini
  17. R

    Sikiliza madini ya Makamu Mwenyekti Chadema, Heche

    "Mimi ni Simba tumefungwa kihalali hakuna malalamiko, tumechapwa, tuko kimyaaaaaa. Hivyo hivyo kwenye uchaguzi tuwe na fair ground!
  18. DuaZaMama

    GE2025 Heche: Kuna watu walikuwa CHADEMA malengo yao yalikuwa ubunge

    "Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  19. DR HAYA LAND

    Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
Back
Top Bottom