health

  1. phael vet

    JamiiForums Tanzania Ulizo kuhusu kozi ya Public Health

    Habarini za kazi wakuu wangu, Naombeni kuuliza kwa anaefahamu chuo cha ngazi ya Kati (Astshahada na stashahada) wanaotoa certificate ya PUBLIC HEALTH Napa nchini
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Medical Doctor at Peking Health Care Limited May, 2023

    Peking Healthcare limited’ Anewly growing company located in Ilala-Dar es Salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries located in Ilala-Dar es Salaam. Currently there is one(01) vacancy to be filled. If you...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO yatangaza kumalizika kwa Dharula ya janga la COVID-19 duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa ugonjwa wa UVIKO-19 sio tena "dharura ya afya duniani". Taarifa hiyo inawakilisha hatua kubwa kuelekea kumaliza janga hili na inakuja miaka mitatu baada ya kutangaza kiwango chake cha juu zaidi cha tahadhari juu ya virusi. ============= The World...
  4. Radium

    JamiiForums Tanzania MIND HEALTH: Jinsi Tunavyojidanganya

    Kikwazo kikubwa kabisa cha kuufikia uelewa wa mtu binafsi na maisha ya furaha, ni uwezo wa upande mmoja wa ubongo kuudanganya upande mwingine. Tunajidanganya kwa sababu ambayo inaweza kuonekana kama sababu ya msingi mwanzoni, KWASABABU TUNATAKA KUEPUKA MAUMIVU. Lakini kwa kufanya hivyo...
  5. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Now that the world is waking up to the dangers and uselessness of Covid-19 so called “vaccines,” the World Health Organization is backing off

    WHO declares that healthy children and teenagers do NOT need covid vaccines Friday, March 31, 2023 Now that the world is waking up to the dangers and uselessness of Wuhan coronavirus (Covid-19) “vaccines,” the World Health Organization (WHO) is backing off in trying to push them, at least...
  6. Sirai

    JamiiForums Tanzania Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

    Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter. Itawezekana muajiri kunikubalia coz...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Zungu anasema wiki ijayo Bunge litapitisha Universal Health Care

    Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga. Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable. Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi Mtenvu,Mwenyekiti wa CCM Far.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  9. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania The fact that we are still arguing about food, health and education is mind boggling

    Howzit! Sawubona! Kipindi nakua, kidato cha pili, nakumbuka siku moja tumetoka shule nilikuwa nikimsikiliza rafiki angu wa kishua njiani analalamika kuwa kwao huwa wanabishana kuhusu hospitali waliyompeleka mzee wao mgonjwa wa kisukari. Kama ni nzuri au wamhamishe. Alikuwa TMJ walitaka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana tufungue Maabara (health) au ubia

    Hello waungwana, Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane. Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno...
  11. P

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndio hali yazidi kuwa mbaya. Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana lakini mpaka sasa nisha kuwa dhaifu hata niliona mazingira ya mwanamke haisimami. Naombeni msaada jamani nateseka...
  12. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania 2 Vacancies for health professionals: Assistant Lab Technician and Registered Nurse

    Peking Healthcare limited,a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensary located in Ilala -Dar es salaam. Currently there are two (02) vacancies to be filled. If...
  13. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Mental health growth

    Discuss the contribution of the government and the society to mental health growth. Naombeni msaada wanajamii
  14. Brone

    JamiiForums Tanzania Hospitali nzuri kubadili meno ya bandia, Dar es Salaam

    Hali zenu Ndugu zangu hakika mpo sawa kiafya kwa uwezo wa Mungu Kikubwa Naomba mnijuze hospital nzuri yenye huduma za Kubadilisha meno Na kuweka bandia inagharimu kiasi gani cha pesa. Naombeni Msaada mwenye kujua, Nipo Dar Es salaam.
  15. geezerlad

    JamiiForums Tanzania Bachelor of public health

    Habari, naomba kufahamishwa ni vyui gani kwa hapa Tanzania vinatoa degree ya public health?
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022. Kufahamu ziara nyingine za Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Administration & Logistic Officer (2 Positions) at Aga Khan Health Service, Tanzania

    Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) – an agency of the Aga Khan Development Network(AKDN), a not-for-profit international organization that supports social development programs in Tanzania. It has completed a major expansion to position the institution to become a leading and integrated...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Project Driver 5 positions at Aga Khan Health Service, Tanzania

    Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) – an agency of the Aga Khan Development Network(AKDN), a not-for-profit international organization that supports social development programs in Tanzania. It has completed a major expansion to position the institution to become a leading and integrated...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Knowledge Management and Communication Officer - TMSA at Ifakara Health Institute

    Knowledge Management and Communication Officer (1 post) – TMSA The Officer will be responsible for all communication activities of the Project. Position Summary Ifakara Health Institute seeks a Knowledge Management and Communication Officer to join the PMI | Tanzania Malaria Surveillance...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Project Driver (5 posts) - TMSA at Ifakara Health Institute

    Project Driver (5 posts) – TMSA They will be driving the Project team members (and guests) to the study areas and sometimes outside the study areas. Position Summary Ifakara Health Institute seeks Project Drivers to join the PMI | Tanzania Malaria Surveillance Activity (TMSA) team. They will be...
Back
Top Bottom