haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tafadhali wakazi wa Maeneo haya hebu tupeane 'updates' za Maji kutoka ili angalau Leo tuoge tusinuke

    1. Masaki 2. Kawe 3. Oysterbay 4. Mikocheni 5. Mbezi Beach 6. Mwenge 7. Kijitonyama Nasubiri kwa hamu tu updates zenu.
  2. JamiiForums Tanzania Mh. Rais nipatie tu perdiem nipite kwa watanzania niwaeleze mambo haya

    Naomba nami usinisahau ktk ufalme wako. Nimeona mambo makubwa uliyoyafanya mpaka nawaza ulikuwa wapi toka awamu ya kwanza? Una mazuri yote....huna baya mama. Huna baya na mtu. Umeifungua nchi sana. Naomba tu niweze wezeshwa nauli na malazi nipite nchi nzima kuelezea mazuri yako na kule...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na haya makundi, muda wowote yanaweza kukuumiza

    Makundi makuu matatu, yanayoweza kukuumiza kwa kiwango kikubwa wakati wowote bila wewe kutarajia/kutegemea:- Marafiki wako wa karibu Hawa wakiamua kukuumiza, watakuumiza kweli;kwa sababu wanajua uimara wako pamoja na udhaifu ulionao. Wanaweza hata kuharibu familia yako kwa kutembea na mpeni...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe kuhusu haya

    Great thinkers naomba ufafanuzi juu ya haya maswali machache kuhusu biblia takatifu. 1. Hesabu 23:19 "inasema Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu ajute Iwapo amesema hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" 1 Samweli 15:10 "Ndipo neno la BWANA likamjia Samweli, kusema, [11]Najuta...
  5. JamiiForums Tanzania Nani aliclassify majina haya jamani. Ilikuja automatically au?

    Nimekuwa nikijiuliza Sana swali hili kwamba ni nani aliclassify majina haya kiasi ambacho mwanaume akiitwa Rachel au Diana kuwa ni kosa au mwanamke kuitwa juma au Gabriel ni kosa. Au muislam kuitwa John au mkristo kuitwa Abdul kwamba eti nalo ni kosa. Mi navyojua wewe kuitwa flani labeling tu...
  6. JamiiForums Tanzania Ya Makocha Nabi na Kaze 'Kutukanana' mlibisha haya Kanusheni sasa na la Aucho na Morrison kutukanana jana mazoezini

    "Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga." Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza...
  7. JamiiForums Tanzania Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

    Shalom, Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki, Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
  8. JamiiForums Tanzania Haya CHADEMA njooni Tusemezane. Wala haina haja ya kupapasana mgongoni Ukweli ni Upi?

    Karibuni weekend nadhani ipo njema kabisa. Sasa ,mimi nimewaita kwa issue moja tu muhimu. Msikasirike sisi watu wenye Ubara ndani yetu huwa hatujui kuuma uma maneno. Nyie Watanzania wenzangu inakuaje mpaka sasa Zaidi ya Miaka 15 hamwoni haja ya kujenga Ofisi ya Makao Makuu?Mnaogopa nini? Ni...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni genius apewe heshima yake, ninyi Ufipa mtujibu kwanza maswali yetu haya

    zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi yupo ! Anazijua siasa za ushindani ,Hana mihemuko Anaimalisha chama chake kimkakati.jembe...
  10. JamiiForums Tanzania 2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

    Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja. zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi watu wote wa kabila hilo wafanikiwa, hata idadi ya wenye mafanikio makubwa ndani ya haya makabila...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Interview and employability; Usipozingatia haya, utaishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye interview

    USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana naye baada ya kuniambia maneno haya

    Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub. Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number...
  13. JamiiForums Tanzania Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

    Salaam, Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili... Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani? Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupiga hela ya maana kwenye haya madubwi ya mtaani?

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
  15. JamiiForums Tanzania Masoko haya ya asali nje yanakusubiri wewe

    Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa uzalishaji wa asali lakini hawajui yalipo masoko ya kimataifa. Ni muhimu kufahamu kuna nchi 24 duniani zinazovutiwa na asali ya Tanzania ambako wajasiriamali wanapaswa kuanza kutafuta fursa zilizopo. Upatikanaji wa soko la mazao ya nyuki yanayojumuisha asali...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  17. N

    JamiiForums Tanzania NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

    Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2. Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
  18. JamiiForums Tanzania Haya masuala mawili naomba jibu, Mwalimu kamaliza kazi yake, sisi tukoje?

    Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa na kuyarudia tarehe 22 Oktoba, 1959 wakati akihutubia Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika (LEGCO)...
  19. JamiiForums Tanzania Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Huwa najiuliza, haya madini kama: almasi, dhahabu, Tanzanite n.k ni kitu gani kinayapa thamani au yanafanya kazi gani kubwa yanayoendana na thamani ya mauzo? Kwa ufahamu wangu mdogo, najua yanatumika kwa mapambo, kukatia vioo na miamba (almasi); lakini, kwa nini yanathaminishwa kwa gharama...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…