haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, mnayachukuliaje haya maneno ya Hayati Magufuli?

    Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha. Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue. Je, tumefikaje hapa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania JF Marubani, naomba yeyote anayefahamu kuhusu Ndege inavyoruka na kutua tuelimishane haya

    Habari ndugu wadau! Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua. Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi 1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini? 2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
  4. JamiiForums Tanzania Mliowahi kutana na haya makitu. Uzoefu wenu please. Hasa kwa Vijana wa siku hizi wabishi na mabinti

    Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom. Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanateseka sana kupata usafiri. Yafanyike haya kusaidia

    Wanafunzi wakilazimisha kuingia kwenye gari konda akiwazuia Wanafunzi wa mikoa yenye idadi kubwa ya watu wanapata tabu kubwa sana wanapotumia usafiri wa umma kwenda shuleni na kurudi nyumbani, manyanyaso wanayokutana nayo wanafunzi kutoka kwa makondakta wa daladala yanawaathiri kwa namna moja...
  7. JamiiForums Tanzania Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo wa CCM: Watu Wanataka Katiba Mpya Kwa Maslahi Binafsi

    Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa.. My Take Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele...
  9. JamiiForums Tanzania Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Haya uto Rais katoa dege dreamliner, mkafungwe tena

    Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
  11. JamiiForums Tanzania Wanaodhani CCM haiwezi kuzijibu hoja za CHADEMA/LISSU/MBOWE/MARIA SARUNGI et al majibu yao haya hapa

  12. JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kumfata mwanamke kuongea naye, basi jiwekee haya ma 5 akilini ili kuondoa woga

    Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
  13. JamiiForums Tanzania Nitumie nini ili niweze kuondoka haya madoa kwenye viatu vyangu

    Habari I Wakuu Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu kutoka licha ya kuosha vizuri hvyo viatu na kuspray dawa yake official ya kiatu cha ngozi kama hicho...
  14. JamiiForums Tanzania Nimesanuka, Bila kutumia akili kwenye haya maisha...

    Maskani na Chocho zote kila ukiongelea situations zako kuzitafutia tatuzi jibu la mwisho utasikia tu kasauti kanachomekea "Tafta hela" Kiufupi hizi Karatasi zenye harufu ni kama zinataka kututoa roho kabisa kama sio kutufanya walemavu, Ukipita maeneo ya masoko na sehemu zilizochanganya kila...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga mtauthibitishia umma haya?

    Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga. https://www.jamiiforums.com/threads/msimu-bora-kwa-kikosi-kilicho-bora-tanzania.2068095/ Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita. Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Basi mkikutana na vijana wa aina hii muwakumbushe mambo haya Matatu

    Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa 1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa. 2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi . 3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze. Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanroad Iringa, haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Wakuu! Habari za muda huu, sijui ni nani anayewashauri hawa TANROAD wa Iringa, mwezi wa pili mwanzoni waliipa tenda ya kuziba viraka kwenye Barabara ya Iringa to Dodoma Kampuni iitwayo TS Solutions (T) Limited ya Kipunguni, Kizinga area Dar es salaam. Kampuni hii imefanya kazi hiyo katika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

    BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu. 🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha...
  19. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipoyakabili/kuyakemea haya magazeti yatawayumbisha wafuasi wenu na kuleta mgawanyiko, yakemeeni

    Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu. Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…