haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sikumkubali Magufuli ila nisingependa waliokuwa washauri wake wamdhalilishe; hawa hata Rais Samia akistaafu watamtendea hivyo

    Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema ndicho anachokiamini kwanini hakusema JPM akiwa hai? Kwanini hakuwahi kukemea? Mwigulu ameonyesha...
  2. JamiiForums Tanzania Mkude akienda Yanga SC atakuwa ametimiza Mambo haya makubwa Mawili ambayo wengi wenu mlikuwa hamuyajui

    Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude. Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa...
  3. JamiiForums Tanzania Haya mambo 30 yanayonisumbua sana, sijui wewe

    Katika mambo yanayonisumbua maisha yangu, mambo haya 30 yanaongoza; 1. Kila kitu ni kitapita au ni cha muda tu ukiwemo uhai au maisha yangu. 2. Ukweli kuwa sitoridhika na nilichonacho au niliyonayo mpaka wakati wa kufa 3. Uhalisia kuwa uchu ndiyo unaotawala uchumi na uchumi nao kutawala uchu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

    Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka 1. VINGUTINGUTIH 2.KWA MUPALANGEY 3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN 4. TAN DALE QUA MUTOGLE 5. TEAMAKEY 6. MAN THEY SAY 7. KEY MARAY sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Watoto wafundishwe haya mashuleni kwa suluhisho la ajira

    Tatizo la ajira kwa vijana limekuwa moja kati ya matatizo makubwa sana yanayosumbua jamii zetu. Tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine mengi kama vile uporaji (panya road), ulevi uliopindukia, umalaya, migogoro mbalimbali kwenye familia inayopelekea familia kuvunjika. Vijana wanaambiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nani aliwashauri Makampuni ya Mawasiliano kushughulikia matatizo ya wateja wao kupitia mitandao ya kijamii?

    Ni hivi wakuu, Ni nani aliyewashauri haya Makampuni ya Simu kutoa Huduma ya Wateja kwa njia ya sauti na kuipeleka kwenye mitandao ya kijamii? Yaani ukipiga simu unaambiwa unaweza kuchat na sisi kwenye mitandao ya kijamii, na ukienda kuuliza shida yako huko wanachelewa kujibu mpaka unatoka...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera waziri Bashe, hongera Serikali. Lakini ongezeni haya kwa ufanisi zaidi

    Serikali imesikia kilio cha watanzania. Ilifikia WAKENYA na Wanyarwanda wanakuja Tanzania na kuingiza Mashambani kulangua mazao, mpaka kulangua mazao mabichi yakiwa shambani. Nimeshuhudia Mnyarwanda anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa mkulima ili aje amlipe mazao. Anachofanya ni anakuja...
  9. JamiiForums Tanzania Mtakaoenda kuandamana zingatieni haya. Lazima tupinge ufisadi

  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea kwanini tusiamini kuna kichaka kimetengenezwa baadhi ya watu wa serikali kusaini makubaliano na DP World

    Amani iwe kwenu, Nitangulie kwa kusema sijawahi kuihisi wala kuifikiri dhamiri isiyo njema ya Rais Samia kwa Tanzania, kila nikiamka asuhuhi namuombea kwa Mungu kwa sababu kuna kitu anacho na ndio hicho Tanzania inahikitaji isonge mbele nao ni uthubutu na maamuzi magumu. Kwangu Rais Samia ni...
  11. JamiiForums Tanzania Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

    Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa. Anayejua anijuze. Mzee pinda anakumbukwa kwa kilimo kwanza, Lowassa shule za Kata.
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipambana na makundi matatu hatarishi na akafanikiwa kuyaangamiza kwa 85%. Je, Rais Samia ataweza kupambana na haya mawili yaliobaki?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo naomba nije na mada inayohusu "maadui mamboleo" wa taifa letu, tukiachana na wale watatu wa zamani waliokuwa wakijulikana kwa majina ya (1) maradhi, (2) uvivu, (3) umasikini. Sasa tuna maadui wapya watano ambao ni (1) ufisadi, (2) ujinga, (3) ushoga, (4) uteja...
  14. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa haya yaliotajwa kwenye Ripoti ya Bajeti yanaanza lini?

    1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed. 2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru. 3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%. Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    Habar wakuu !!! heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, haya ndio madhara ya awali ya kubinafsisha Bandari?

    Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter: Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na Maono, Viongozi wote aliokataa kufanya nao kazi hawafai kwa taifa letu

    Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake. Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa. January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama mambo yenyewe ndio haya dada wa kazi wanahaki ya kuwatesa kina Junior

    Kwakweli mabosi hasa wanawake wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia ya baba kazini na mama kazini kurudi jioni. Wanawake wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwa mantiki nasema wakuwatesa wakina junior...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana huu ndiyo wakati sahihi kwa CHADEMA kufanya haya...

    Umofia kwenu nyote. Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya Watanzania Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na Hayati wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyogundua kuhusu makubaliano Kati ya Tanzania na DP World

    Katika suala hili la makubaliano ya uendeshaji ya bandari Kati ya Serikali ya Tanzania, nimegundua kuna makundi kinzani yanayokinzana juu ya Jambo hilo. Na haya ndio makundi: Kundi la wasiojua kabisa: Kundi hili ni la bendera fuata upepo, lenyewe lipo pande zote mbili linaokoteza ya mtaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…