haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yasipopigwa marufuku, tutakua na kizazi cha ujinga sana

  2. JamiiForums Tanzania Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  3. JamiiForums Tanzania Haya haters wa Jux kiko wapi?

  4. JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo. Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Machawa Majinga Fulani Kumkufuria Kaka, Akayapuuza kwa Kuyanyamazia Aka..., Sasa Yameanza Kumkufuria Dada!, Ayapuuze, Ayanyamazie au Akemee?.

    Wanabodi, Angalizo. Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama wewe ni simple mind, ukajisikia unawashwa washwa kutaja majina, nakuomba jifanye great mind kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanachanganya haya maneno mawili: best & favorite

    Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.” Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali kuwa ndicho bora zaidi, lakini kisiwe Favorite chako. Vivyo hivyo, kitu kinaweza kuwa Best na...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano 1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwani kuna ulazima kwenye haya matamasha kila mchezaji ACHEZE?

    Yaan kuanzia Jana mechi ya Simba na Leo Yanga wanacheza kama timu za shule ya msingi sababu yakulazimisha kila mchezaji acheze, yaan hivi vitoto haviko serious na MPIRA
  9. JamiiForums Tanzania Mabaya haya yana faida gani?

    Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashimo bado yapo, lakini njia za baiskeli zinajengwa—Je, haya ndiyo maendeleo?

    Ukarabati unaoendelea kwenye Barabara ya Kasarani–Mwiki umeibua maoni tofauti kutoka kwa wakazi, huku wengi wakitaka serikali kuweka kipaumbele katika kutengeneza barabara yenyewe kabla ya kuwekeza katika miundombinu mingine. Wakazi wanasema licha ya kazi za ujenzi kuendelea, changamoto kuu...
  11. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Unapokuwa Mwanaume

    Maisha ya mwanamume si mepesi, na kadiri unavyokua ndivyo unavyogundua kuwa ulimwengu haujali unavyojisikia unajali unachoweza kuleta mezani. Upendo Wako Unategemea Unachotoa Kama mwanamume, hakuna upendo wa bure chini ya jua. Watoto, wanawake, na hata wanyama wa kufuga ndio wanaopendwa bila...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

    Kinyengo Mafyulisi Mang'ang'a Matombolilo Posolo Katapera Nguniani Mapululilo Mkambokambo Mapohora Mang'ela Mabangayeye Migagi Vitindi/ kitindi Kipumilo
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kuto maoni kama haya huyu mwandishi nae atapotezwa kama Azory Gwanda?

    Kama kuna umuhimu wa maridhiano basi Lissu aachiwe.👇
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu epuka mambo haya (7) kiroho sio mazuri

    NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako 3)SEHEMU...
  15. JamiiForums Tanzania 2030 Kuna watu watakimbia hii nchi. Hifadhini maneno haya

    Wezi na wabadhirifu wa Mali ya umma, mafisadi na familia zao, matajiri wa dili ambao kwa awamu hii wanatamba wajiandae. Mapema 2030 watahama na Mali zao kutaifishwa. Huyu Samia kitakachomlinda ni katiba hii mbovu ila akijichanganya tukapata katiba yenye meno na yeye atavuna alichopanda.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  17. JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili uishi kwa furaha

    Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo: Kujipenda Kujithamini Kujipa kipaumbele Kutoifikiria sana kesho Kuachana na yaliyopita Kufurahia yaliyopo Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda
  18. K

    JamiiForums Tanzania Pole Sana Dotto Magari: Nikupe Moyo haya majaribu unayopitia utayavuka salama Mdogo wangu

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  19. JamiiForums Tanzania Mnataka Tuoe? Sasa ili Raisi wa Chama cha Wakataa Ndoa nipeleke NEC muswada wa kuvunja Chama cha Wakataa Ndoa naomba haya yafanyike ....

    INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema ASANTE...!! MAIN BODY: Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
  20. JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi" kigezo cha sina muda yanajificha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…