Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 187
- 310
Wakuu kati ya gari hizi nichukue ipi; Vitz old model,Funy Cargo,Suzuki swift old model,corrola ya 4E, raum old model
Funy cargo kichomiFun Cargo hapana aisee.
Mm mwenyewe naona kama vitz ni unyama mwingiKete yangu kwa Vitz.
Honda ipi mkuu?Kuna hii mashine mnaipotezea sana Honda ila sijui bei yake kama ipo sawa na hizo hapo ila ni gari kweli balance ipo mafuta kinanusa na sio kibovu kibovu hata safari ya mbali kinaenda bila kukupa matatizo ya mgongo tujifiche humu tu hakuna namna.
Fun Cargo hapana aisee.
Hii hapa kimepita jirani yangu kinaelekea Lusaka.Honda ipi mkuu?
Hii gari hua inachekesha ilivokaa
Gari mbaya kinoma haha!Hii gari hua inachekesha ilivokaa
FunCargo Ina space sio mbaya kwa kiwango hichoFun Cargo hapana aisee.
Honda fitKuna hii mashine mnaipotezea sana Honda ila sijui bei yake kama ipo sawa na hizo hapo ila ni gari kweli balance ipo mafuta kinanusa na sio kibovu kibovu hata safari ya mbali kinaenda bila kukupa matatizo ya mgongo tujifiche humu tu hakuna namna.