shemeji yako huyo anataja dada yakeYaan sijaelewa kuanzia heading had ndan
Kuanzia Heading mpaka huku kwa sisi wazoefu tushajua ni matumizi mabaya ya Smart Gin....Kakunaga ushemeji tunakulaga
Shemeji kanunua pastora ngoja nimpende dada yake
Wabunge wawakaba kooo mawaziri🤣🤣🤣Kuanzia Heading mpaka huku kwa sisi wazoefu tushajua ni matumizi mabaya ya Smart Gin....
Hamia Konyagi au K Vant... utanishukuru
Wabunge wawakalia kooni mawaziriKuanzia Heading mpaka huku kwa sisi wazoefu tushajua ni matumizi mabaya ya Smart Gin....
Hamia Konyagi au K Vant... utanishukuru
umekinukisha kweli bwana hayasomeki tulipe kodiKuanzia Heading mpaka huku kwa sisi wazoefu tushajua ni matumizi mabaya ya Smart Gin....
Hamia Konyagi au K Vant... utanishukuru
KIMEWAKA TayariWeka location yako, tuje kukuchukua kabla hujaharibu mambo hapo