hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brojust

    JamiiForums Tanzania Je, kuna makosa MUNGU hawezi kusamehe ? Je, unaweza kuiona kesho yako ?

    Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe, anaenda kanisani anaombewa baadae anaanza tena. Miaka inaenda, umri unaenda, hana kazi stable...
  2. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

    Habari za weekend! Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu. Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania "Yani mimi, mtu bila gari, bila kazi ya maana halafu asiwe mrefu mweusi hawezi kunipeleka kwake tukaishi nae. I am not cheap!"

  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

    Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo? Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
  7. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

    Case studies zipo nyingi Sana Sina haja ya kurudia. Uzi tayari.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke hawezi kabisa kutoa penzi kwa ampendae bila kutaka kugharamiwa?

    Ni mara kadhaa utasikia wanawake wakisema Mwanamke gharama. Hata awe ana Mtu wake anayempinda na yeye ana uwezo lazima atake kugharamiwa au kupewa matumizi. Wengine hushawishi hata kulipiwa ada za shule au Chuo. Kinashangaza ni kuwa hata agharamiwe kiasi gani wengi si waaminifu, huanza kutafuta...
  10. Malaika wa Waha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

    Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate, Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
  11. Marcy

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

    Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
  12. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chidi Benz ataja sifa za Mwanamke ambaye hawezi kumuoa

    Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

    Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Ayatollah Khomen kwa Israel Hawezi Mshinda vita Hezbullah

    Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja. Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam hawezi kutumia jina lingine katika boxing hadi atumie "vitasa" ambayo ni ID ya mwamaluka

    Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi. Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  17. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke hawezi kukaa kwa mume ambaye si mwanamume kweli

    Kuna watu wanajiona ni wanaume na hata huwa wanaoa wanawake na kuzaa nao lakini kiuhakika wake si wanaume kweli.Kama wanawake wangekuwa si uwanawake wao basi wangewakataa mapema kabla ya ndoa. Wanaume hao ninaokusudia wanajulikana kwa namna nyingi sana wa mwanzo kabisa ni wale wanaochukia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  19. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali langu: kwani mwanaume hawezi kua na maumbile mazuri? Kwanini kila attribute nzuri inaambiwa ni “ya kike”?

    Kuna vitu vinachosha sana. Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri), Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke. Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    Haijalishi nitaonekana ni mtu wa aina gani lakini huu ndiyo ukweli,eidha utaukataa Kwa Lugha za matusi au utaukubali! Kwenye hili hata kama nitatengwa na dunia nikabaki peke yangu lakini huu ndiyo ukweli! Ni mwanaume mwendawazimu pekee anayeweza kulamba na kunyonya uchi (Uke) wa mwanamke...
Back
Top Bottom