hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kwa afya ya Museveni hawezi kumaliza awamu hii ya Urais

    Anaonekana clearly hayuko fit, kifo anakijua Mungu ila kwa upate wa akili(mental fitness) hawezi kumudu kwa miaka miwili zaidi ijayo. Atapotea kwenye macho ya umma siku sio nyingi. I don't care much about Uganda politics, but since he and his insane son is number one supporters of killer Samia...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Shoga haliwezi kubadilikaa kamwe

    Kuna taarifa ya kijana mmoja shoga mzoefu anaitwa Agrey ilisema ameokoka na kuacha ushoga ..Huku yeye mwenyewe akijinadi mnoo kwenye mitandao mbalimbali kwamba ameokoka na anatarajia kufunga ndoa .Chichimani alienda mbali na kuamua kuwa mwanaharakati wa kupinga mambo ya ushoga na uelimishaji...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu. lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake...
  5. Keynez

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kuhongeka kwa cheo feki cha "Makamu wa Rais"

    Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika siku inayokwenda wanazidi kukaza kamba. Hili chaka ka kuzawadia watu Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Aibu iende kwa nani juu ya huu upuuzi unaofanyika? Watu makini hawezi kufanya maandamano ya kipuuzi kama haya

    Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa. Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu. Pili hili dhehebu halikubaliani na...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameunda Tume ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri

    Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Samia hawezi kutupatia katiba Mpya hata iweje.

    Ukiona watu wanagoma hizi hadaa uwaelewe sana. Machawa wanasema mama yao kasema ataanza mchakato wa katiba mpya kwahio tusimubughuzi. Hivi watanzania Mnahisi hawaelewi maana ya neno MCHAKATO? kwa kiingereza si ina maana ya PROCESS. Sasa process si ina maanisha stages nyingi? Huyu mama...
  10. aise

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Habari za jioni wakuu! Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko. Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi' Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

    Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika, hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo

    Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo. Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98% hatuwezi kufanya maridhiano na mtu anaye unga mkono wizi na mafisadi. #D9
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye ya Mungu hawezi kufurahishwa na haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini

    Ni wendawazimu pekee wanaoweza kufurahia ushuzi huu nchini eti kiongozi mkubwa kabisa anaongea utumbo mbele ya vyombo ya habari eti walipigwa risasi sio watz ni raia kutoka nje, wakati watoto wetu dada zetu na wajomba zetu wamepigwa risasi wakiwa nyumbani swali hawa ni raia wa kigeni? Nahisi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko amuuliza mgombea Uspika swali la kizushi, adai hawezi kujibu

    Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hata Mungu hawezi vumilia huu uhalifu wa kutaka kuivuruga amani ya nchi

    Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

    Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea. Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Back
Top Bottom