Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi...
Hili jambo lilianza kama mzaa vile lakini naona linaendelea kuota mizizi
Zamani ilikuwa mtu akiaga Dunia watu hukutana uweka tofauti zao pembeni Kisha hufarijiana ,hula chakula pamoja na kumuombea marehemu pumziko la aman
Lakini kwa Tanzania mambo yameanza kuwa ndivyo sivyo nyakati hizi...
Ndugu zangu watanzania,
Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe ikiwa mumewe hayupo hai
Nilijitahidi kumtetea mama wa kambo nyumbani na kuwa ambia ndugu zangu kuwa...
Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani.
Wakoloni...
GT
Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out.
Ndugu zangu kumbukeni Mhe polepole alishwahi kuapa kwamba atailinda na kuitetea katiba ya JMT lakini pia hatatoa siri za...
Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine.
Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli.
Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
Rejea swali hilo hapo juu. Ninaongea haya nikitokea katika utumishi wa Mungu. Tunzeni hili mtakuja kulithibitisha soon. Ni kwanini hata angetumia mbinu na njia gani kamwe hatofanikiwa?
1. Kukosa kibali(kwa Mungu na kwa wanadamu) Hana kibali ndio maana ametumia na anatumia nguvu nyingi sana...
Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa?
CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui kielelezo kilipo.
Leo hii hii uchguzi uwe huru na wa haki Rais Samia hawezi kumshinda Lissu.
Ole...
Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka.
Kama unafanya mambo...
Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme,
Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile,
kufika tu napaki chuma nashangaa,
Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...
Mpo salama!
Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli!
Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini?
Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani?
Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli?
Nimesikitika Sana...
Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Kupiga makelele, kupaza Sauti au kuzungumza vyovyote vile kwa lengo la kushinikiza na kulazimisha lissu aachiwe huru bila Masharti ni kujidanganya ,ni kupoteza muda ni kupiga makelele yasiyo na msingi ,ni kuwasumbua watu tu na kujitia ujinga tu usio na msingi...
Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha
Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili
Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu.
Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo.
Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na kuanza "kumnong'oneza" baada ya ile mechi ya robo fainali kati ya Mamelodi na Yanga ilichukuliwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.