hawana

Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

    “Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amewataka Watanzania wote popote walipo kutumia hashtag ya ‘Nasimama na Mama’...
  2. D

    JamiiForums Tanzania kwanini huwa wanachimba (kutrimu) barabara na kuyaacha mashimo kama hawana bajeti ya kujenga?Tanroad/tarura

    Naomba kuuliza tu! Hawa wenzetu huwa wanawaza kwa kutumia nini? Yaani unachimbua barabara kuweka viraka halafu unaiacha na mashiyo hayo pasipo kuyaziba inazidi kuwa mbaya zaidi unapotea! Sasa kama huna bajeti ya kujenga kwaninj huwa wanachimbua? Yaani ni sawa na mtu achimbe msingi wa nyumba...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali. Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu. Watatumaliza
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki. Wakajaribu...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi hawana zimamoto! Mkurugenzi yupo tu kwenye AC!

    DART hapo ni Gerezani -Kariakoo, mwendokasi inaungua, wazimaji hawana ndoo za mchanga, hakuna mabomba ya maji ya kuzimia lakni kwakuwa ni karakana kubwa, basi walipasa kuwa na gari lao binafsi la kuzimia moto. Hii Kampuni juzi hapa kateuliwa mkurugenzi mpya, mambo yamekuwa mabaya kuliko hata...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yasema hawana hao mateka 40 wanaotakiwa. Kosa la nani

    Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe. Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

    Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka. Shikamooni sana Namba M na labda...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hakika CCM haina watu tena, Wote walioteuliwa leo hawana Jipya ni wepesi kuliko pamba

    Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Nimeonaaaa hiiiii itv Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi. Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi. Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe...
  10. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA" Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga. Mamelodi watakula mnara ✋
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

    Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha. Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema Watanzania hawana furaha. Kwahiyo Wananzengo mpaka Rais anajuwa Watanzania tunaishi kama tupo jela...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

    Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kwa CHADEMA hawana awezae kuwa Rais wa Tanzania

    Nani nauliza tu, ni nani anaweza kuwa Rais na Watanzania wakawa hawana wasiwasi nae! Niwaonavyo viongozi wa CHADEMA nyuma ya pazia ni wabinafsi. Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya matendo yao ni magoigoi wanaoweza kukimbia nchi ikiwa wananchi wataamua kuandamana na hawa sifa za...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi

    Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano. Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani hawakuwa na akili, nitashangaa kama bado wanapumua

    Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wagonjwa wanapewa magonjwa ambayo hawana ili Zahanati ziuze dawa

    Ujumbe huu ufike Serikalini hasa kwa Wizara ya Afya, sasa hivi baadhi ya vituo vya maabara vinafanya kitu kimoja, ukienda kupima hata kama huna Typhod majibu yao ni una-typhod, unajikuta unatumia dawa huponi. Ukienda kupima tena bado majibu ni unatyphod, sasa hii ni hatari sana, watu wanakunywa...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mbona askari wa nchi za wenzetu hawana vitambi?

    Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibu
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
Back
Top Bottom