hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara

    πŸƒβ€β™‚οΈ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. πŸ”½ Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za uthubutu

    πŸ‘¨β€πŸ’» ( POWER OF SETTING SPECIFIC GOAL) Bado tumejikta katika mada yetu ya hatua za mafanikio kipengele cha KUJIWEKEA MALENGO MAALUM. Swali : Hivi kuna mahusiano gani kati ya malengo na mafanikio? ✍🏿 Ngoja nianze na mfano: Ujue binadamu anapo anza safari ya kitafuta maisha huwa hana tofauti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara

    HATUA ZA KUANZA BIASHARA πŸ–ŠοΈ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo) 🎀 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *. 1. Kuwa na wazo zuri la biashara* πŸ’§ Jambo la kwanza ni kuwa na wazo la biashara ambalo litakufanya wewe...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

    Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Huu sio wakati mwafaka kwa Ulaya kulegeza hatua za kupambana na COVID-19

    Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya kurudisha hali ya kawaida, bila hata kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa afya. Hali hii...
  6. JamiiForums Tanzania RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tusubiri lori liparamie wanaofanya biashara barabarani ndio tuchukue hatua?

    Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN SDG-7: Hatua Za Usambazaji Umeme kwa Wananchi Afrika, Je Tanzania mmefikia Wapi?

    Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium Development Goals (MDGs) ambapo nchi zote zilikua zinafaa zihitimu kabla ya mwaka wa 2,000.. Wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi hii haiwezi endelea kama tusipokubali kufikia hatua hii ya Kujikana

    Kwa sasa utagundua hakuna kitu kinachotuunganisha watanzania. Hakuna. Unaweza sema ni chama. chukulia ccm.utagundua wakati wa mapambano kati ya ccm na cdm ccm wote watakuwa dhidi ya cdm.watawatenga ccm wakiamini wao wameshikamana. Ila ingia ndani ya ccm.waweke kwenye udini.watajigundua wote ni...
  10. JamiiForums Tanzania Eneo lenye hatua za miguu 250 kwa120 linaweza kutoa heka ngapi?

    Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili. Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu) Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi. Karibuni
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hatua za mabadiliko ya Virusi vya Corona

    Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5 Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

    Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo. Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu. Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hatua zaidi zinahitajika kukabiliana na COVID-19

    Mama Samia rais wetu, umetufahamisha rasmi uwepo wa ugonjwa huu mbaya hapa nchini. Umetaka maelekezo yote yanayotolewa na wataalamu kufuatwa. Kwa mioyo mikunjufu yote tumeyakubali na tutayazingatia. Tunaamini maelekezo yako ndiyo ulio msimamo rasmi wa Serikali na kuwa hayatakuwa maneno matupu...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

    Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Hivi karibuni...
  15. JamiiForums Tanzania Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Habari wanajamvi, Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania. Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kaimu DSO Kiteto anakuharibia Chukua hatua mapema!

    Mh.Rais najua nimechukua hatua kubwa sana kukushtakia huyu bwanamdogo .anaekaimu Ofisi ya DSO Kiteto .anawaita watumishi Ofisini kwake na kuwatishia kuwapiga, vitisho visivyo na msingi. Amewazuia watumishi kutoka Arusha na longido waliokuja kwenye mafunzo bila sababu za msingi. Hatuelewi hatma...
  17. JamiiForums Tanzania Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi. Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu. Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

    Binafsi ntazingatia yafuatayo: Je, nimelipa mahali kwao? Je, mimi ninachepuka? Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa Je, tumezaa watoto? Je, tuna mali kiasi gani? Je, huyo bwana namfahamu? NB: Baada ya kuzingatia hayo ntaanza mchakato wa kumdanganya tuuze mali kwa kumuaminisha kama kuna inshu...
  19. JamiiForums Tanzania Hatua 6 za kumzuzua Mwanamke

    1. Pokea pongezi Wanaume wengi wanatabia ya kukataa kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke. Balada ya wewe kuguna ama kutojiskia huru wakati mwanamke anakupongeza, mbona usitumie nafasi hii kutumia maneno ya utamu kama ile 'asante, 'nashukuru' nk. Kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke ni kama vile...
  20. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hiki alichofanyiwa huyu binti, Jeshi la Polisi lichukue hatua kwa waliohusika

    Kumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali. Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa. Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa. Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…