hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kuanzisha forum kama jamiiforums,nairaland au red it.

    Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
  2. JamiiForums Tanzania EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

    Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema. Kwani Hando...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada, kisheria hapa nichukue hatua gani?

    Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023. Direct kwenye point Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2. Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hatua mpya za NATO dhidi ya Urusi

    Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha. Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima...
  5. JamiiForums Tanzania Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

    Tusimung'unye mung'unye maneno. Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo. Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya. Zile ndizi zina nini? Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
  6. JamiiForums Tanzania Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  7. JamiiForums Tanzania DC Kilosa aagiza polisi kuwachukulia hatua kali madereva wa IT wanaobeba abiria

    Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga ameliagiza jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kuweka utaratibu wa kuyakagua magari yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi maarifu kama IT na kuwachukulia hatua madereva wanaobeba abiria katika magari hayo. Mwanga ambaye ni...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Wambura na Jeshi lako, Kurusha Picha za "Wanawake wafanyabiashara ya Ngono", mitandaoni, ni Uvunjaji wa haki za Mwadamu... hatua zichukuliwe.!!.

    Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona. Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kuchukua hatua dhidi ya kampuni iliyochoma Vifaranga 50,000

    Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...
  10. JamiiForums Tanzania Kunani EU? Ursula alipuka "EU lazima 'ichukue hatua' dhidi ya kuumizwa na Marekani"

    TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA. IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA" Soma: Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wakubwa wanaofuata kuaga mashindano baada ya Germany na Belgium ni Spain na Argentina kwa hatua ijayo

    Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu! Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa. Sina kipaji cha kumuelezea mtu aelewe maono yetu tuliyojaliwa kuyaangalia mambo kwa nguvu ya ziada! Nitafufua...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

    Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika. 1. Lack of seriousness (kutotilia maana I) 2. Lack of...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

    Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
  14. JamiiForums Tanzania Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

    Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili. Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
  15. JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wachukulieni hatua hawa Mawaziri, wanakichafua chama

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  17. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wananchi wafikia hatua kulinda ugali wezi wasipite nao

    Ukweli ni kwamba hali hairidhishi kijijini Msaranga wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na upungufu wa chakula Anayelalamika hali iliyotawala, Pulceria Marandu, mkazi wa Kitongoji cha Kwasuva kijijini Msaranga, anatumia kauli: "Ukipika ugali, ukienda chooni au kutafuta sahani chumbani au...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye...
  19. JamiiForums Tanzania Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Watanzania 18 na Mwingereza mmoja, jana walishindwa kuingia mini Bukoba, wakiwa hai baada ya maisha yao kukatizwa na ajali ya ndege ilivowatoa Dar es Salaam wakiwa salama. Hawa ni miongoni mwa abiria 43 walioelezwa kuwamo ndani ya ndege aina ya ATR42-500 mali ya Shirika la Precision...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali inapuuza Ripoti za CAG au inawalinda wezi?

    Jamani ukifatilia ripoti za CAG pamoja na kuweka wazi wahusika wa upotevu mkubwa wa fedha za Umma lakini Serikali imekuwa haichukui hatua kali dhidi yao na ndio sababu matukio ya upigaji yanajirudia Mara zote CAG na Bunge wamependekeza hatua za kuchukua lakini Serikali haiwawajibishi wanaotajwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…