hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni hatua akina Chama wameridhika mno

    Viongozi wa Simba Mashabiki na wanachama liangalieni sana suala la wachezaji wa Simba kuna wachezaji SImba wameridhika na matokeo ya huko Nyuma hawajitumi wala kuumia. Mfano Chama anakosa goli wala hauumiii, Mwakani tulete damu nyingine yenye uchu wa matokeo. Why mwl hawachezeshi PHIRI na OKRAH...
  2. JamiiForums Tanzania Tuambie timu yako ilitolewa hatua gani CAFCL?

    Kila mmoja anaisifia Mamelod kuwa ni timu tishio msimu huu lakini hawasemi Mamelod amefikaje hapo Kabla ya kufuzu Nusu fainali msimu huu Mamelod amecheza Robo Fainali 4 mfululizo na kutolewa zote Raja Casablanca ndani ya misimu mitatu mfululizo wanatolewa hatua ya robo fainali Mpaka sasa...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Yusuph Kitumbo mkurugenzi KITAYOSCE Anayetoa rushwa michezoni kwa kurubuni wachezaji. TFF Chukua hatua

    Yusuf Kitumbo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora kwa mara nyingine yupo katikati ya tuhuma za rushwa na kupanga matokeo kwa ligi daraja la kwanza. Alifungiwa mwaka 2016 na utawala wa Jamal Malinzi kwa kupanga...
  4. JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Kero moja ya Muungano ambayo Mwalimu alishindwa kuchukua hatua

  7. JamiiForums Tanzania Tusiwe watu wa kudandia vitu au hatua zinazochukuliwa na kiongozi wa mataifa jirani

    Habari wakuu Rais Museveni kaanzisha harakati za kuzuia vitendo vya ushoga nchini mwake na sisi wa kwetu kaiga ili aendane na wakati asionekane vibaya Sasa imekuwa kero. N:B Na ninyi muwe mnaanzisha agenda zenu na kuzisimamia sio mnaiga mahali mnaanza kuleta usumbufu humu, kweli nimeamini...
  8. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna uwazi wa hatua zinazochukuliwa dhidi ya Wabadhirifu wa mali za umma wanaobainishwa katika Ripoti za CAG?

    Tarehe 29 Machi, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022. Ripoti hiyo imeibua ubadhirifu katika sekta mbalimbali za umma na kuibua mijadala miongoni mwa wananchi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwe kwa hatua anazochukua, ni dhahiri kwamba mama yuko kazini

    Serikali ya Awamu ya Sita imesimama imara katika kutafuta fehda za miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo juhudi hizo zinapswa kulindwa maendeleo yapatikane kwa haraka katika jamii. Uwepo wa ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasiokuwa waaminifu kama alivyobainisha CAG kupitia ripoti...
  12. JamiiForums Tanzania Nimelia sana. Sikutegemea ingefikia hatua hii

    Nilikata miaka kama kadhaa hivi bila kuchovya (kuosha mpini) si sababu sina pesa. Laaah ... Pesa mademu wananilia sana na vile mimi ni mpole na mwaminifu so huwa nakuwa na demu ila akiniambia kuparamiana mpaka tukioana bas namkubalia tu. Jana demu mmoja akanionea huruma akanipa. Daaaaah...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achukua hatua, Wadau mbalimbali wampongeza

    RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Rais Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Samia kutumia sheria ripoti ya CAG ni bora kuliko uwajibikaji wa kisiasa tuliozoea

    Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo." Maagizo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

    Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nikweli Uchumi wa Dunia umeyumba ila kama Taifa lazima tuzijuwe alama za nyakati na kuchukua hatua!!!

    Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa. This is very simple formula gari...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aache kulalamika, achukue hatua mara moja

    Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo...
  20. JamiiForums Tanzania GOLI la mudathir yahya lawania Gori Bora la hatua ya makundi cafclcc

    π—ͺπ—”π—‘π—”π—‘π—–π—›π—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œπ—œ Goli la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe limechaguliwa kuwania goli bora kwenye hatua ya makundi #CAFCC Unaweza kumpigia Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko🟒🟑 NB:Hadi sasa tupo mbali sana Twendeni Wananchi πŸ’ͺ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…