hatma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makosa mawili makubwa ambayo yatagharimu hatma yake

    Wakuu, Wakati anapewa kijiti toka kwa mtangulizi wake, alipewa maagizo mengi atekeleze. Yapo ya muhimu sana yalipaswa kutimizwa mwaka huu unaoisha lakini aliona yataharibu hatma ya muhula wa pili kwake. 1. Uandishi wa katiba Mpya ulipaswa kuanza mwaka huu lakini hakuna dalili yoyote hadi Sasa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wachagossia waanza kuona mwanga baada ya Uingereza kukubali kufanya mazungumzo juu ya hatma ya visiwa vyao

    PILI MWINYI Uingereza hivi karibuni ilitangaza kukubali kufanya mazungumzo na Mauritius juu ya hatma ya visiwa vya Chagossia, ikionekana kurudi nyuma kidogo baada ya kugoma kwa siku nyingi kufanya mazungumzo hayo licha ya shinikizo kubwa iliyokuwa ikipata kutoka nchi mbalimbali duniani. Kwa juu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru kati ya CHADEMA na CCM, Hatma ya Taifa la Tanzania

    Wakuu, Leo kupitia hapa nitaendesha mjadala huru kabisa kati ya wapenzi, wakereketwa, na wanachama wa vyama viwili vikubwa vya siasa Tanzania CHADEMA na CCM. Tutaangalia hatma ya nchi yetu kwa kuangalia mitazamo mbalimbali kama; Ni nini Watanzania wafanye nchi iendelee na ipae kiuchumi? CCM...
  4. JamiiForums Tanzania Hatma ya Kagera ipo mikononi mwa wenyeji wake

    Mimi huwa ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinaziobukaga humu ndani kuhusiana na maendeleo ya mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kagera. Pamoja na kwamba mada nyingi huwa zinaishia katika mabishano ya kuwashutumu wanaKagera kwa majivuno, na wengine wakisema ni wavivu lakini kuna mambo fulani huwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yajizatiti katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
  6. JamiiForums Tanzania Dr. Harari wa WEF aeleza hatma ya wanadamu

    Dr Yuval Harari, mshauri mkuu wa mwanzilishi wa WEF, Dr. Claus Schwab, amesema bila aibu na kumung'unya maneno kwamba wanadamu wote kama ikiwa lazima wataangamia, isipokuwa "The Elite." Dk. Yuval Harari anaingia kwenye vichwa vya habari tena kwa matamshi yake tata kuhusu hatima ya wanadamu kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, unaifikiria hatma ya Mchepuko kwa maisha ya baadaye?

    Salamu kwenu wa JF wote! Kwako Mwanaume mwenye Mchepuko. Mwanaume una Mchepuko tena ni Single Mother, unamhudumia vizuri kila kitu anapata lakini hutaki afanye kazi yoyote wala Biashara huo ni wivu au ndiyo kupenda sana? Je, unafikiria hatma ya huyo Mchepuko kwa maisha ya baadaye?
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Kusitasita na hofu kunapelekea usiweze kufika katika hatma yako

    Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika mstakabali wa maendeleo yao.Pale watakapochukua hatua ya ziada kuondokana na hali ya kusitasita na woga...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya yote haya?

    Hakika katika migogoro inayoendelea ni dhahiri kuwa watu wengi tumekuwa tukitamani kuona nini mwisho wa yote yanayoendelea kutokea hivi sasa. Mpaka sasa Urusi inaendelea na kile inachokiita kuwa ni "oparesheni ya kijeshi" katika taifa la Ukraine. Watu wengi tunatamani kuona mwisho wake. China...
  11. JamiiForums Tanzania Majira ya baridi ndiyo yataamua hatma ya vita ya Ukraine

    Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali. Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu ya Ulimi (Maneno) katika kuamua hatma ya maisha yako

    Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza kwamba anatilia maanani sana ushirikiano wa amani na usalama kati ya China na Afrika, na kupendekeza...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Tutafute Pesa" Ipuuzwe; Kwa Hatma njema Mtafute Mungu wako.

    IPUUZE KAULI YA "TUTAFUTE PESA" KWA HATMA ILIYONJEMA BASI MTAFUTE MUNGU WAKO. Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Andiko hili lisomwe na Vijana wote. Usiwe mtumwa wa Pesa. Usiihusudu hata Kama unaambiwa ni tamu. Kamwe usije kujidanganya. Hakuna Raha yoyote ya kuwa na pesa kama huna Mungu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

    Habari ndugu Watanzania, kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali. Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro. JE, nini chanzo Cha...
  16. JamiiForums Tanzania Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

    Wakuu Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni. KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
  17. JamiiForums Tanzania Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

    Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi. Tusubiri, ni muda mchache ujao
  18. JamiiForums Tanzania Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

    Kwa mtazamo wangu 1: Hakutakuwa na WW3 2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha. Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake. 3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Nini Hatma ya Ukraine baada ya Mzozo na Urusi?

    Sasa ni siku zaidi ya 50 ya kinachoitwa operation ya kijeshi inayofanywa na shirikisho la Urusi ambapo upande unaoshambuliwa (Ukraine) umejaribu kila namna kuzuia mashambulizi makali ikiwa ni pamoja na kuomba mataifa ya Magharibi kuiwekea vikwazo Urusi, kuharibu zana za kivita za Urusi na...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya baba mwenye nyumba kuunga juhudi, ni nini hatma ya wapangaji wake?

    Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae ndio alikuwa akiwaweka mjini na kuwalipa kwa utopolo wao kuamua kuwa upande wa wale waliokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…