hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

    Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka. Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vyuma Vyalegea

    == Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni. Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19. Watanzania OCT Tunatik ✅
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Thom Mnkondya ajitosa ubunge jimbo la Tunduma

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mtaalamu wa ardhi na Mjasiriamali Kijana Bw. Thom Mnkondya, Leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Ofisi za CCM Wilaya ya Momba. Thom, ambaye amejizolea...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Basi la SSB lapata ajali

    Basi hadi trafiki wanaliogopa. Hata taarifa ya Vifo hawatoi. Nimeambulia picha kwa mbali
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

    Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa Ngao ya jamii ❌ Cafcc ❌ Muungano ❌ CRDB cc ❌ NBC Premier League ❌
  6. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Masikini Iran muda wowote kuanzia sasa Marekani naye ataingia kumtwanga rasmi na hatimaye Ayatollah kumkuta ya Saddam Hussein

    Hii si ndoto ni kweli, Iran ndo mwisho wake huu... Anasikitisha, Usa anaingia rasmi.. Iran kilichobaki ni kukimbia tu
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Tafsiri isiyo rasmi Jamhuri ya Malawi Taarifa kwa Umma Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo ya kisheria ya kimataifa, imefikia makubaliano ya kihistoria na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye China imeshinda vita vya ushuru dhidi ya Marekani. Mkutano uliofanyika Geneva kati ya mataifa hayo mawili lilikuwa ni ombi la Marekani

    “All imperialists are nothing but paper tigers.” - Mao Zedong Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu. Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu. Siku hiyo kwa tambo na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uislamu umepata ushindi mkoa wa Iringa

    Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee Takbiiir
  10. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Hatimaye bahasha iliyokuwa imefungwa imefunguka.(Ushoga)

    Yale mashati na T.shet za kijani nawaonea huruma huko barabarani hasa wafia chama. Kila mtu anajua yaliyotokea kuhusu ushoga Karibu sana smart phone.
  11. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifungo Cha miaka mingi hatimaye Sigara Kali nimerudi hewani

    Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali. Asanteni moderators wote wa JF
  12. Gabeji

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

    Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema. Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wahouthi wasalimu amri waahidi kutoshambulia tena Meli Red-sea!!

    Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo. Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa “Uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa”

    Habari za kuaminika uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa na ndege zote zilikuwepo uwanjani hapo zimeteketezwa bila huruma yoyote. Waliokuwa wanawasifia hawa Vibaka Njoo I tena muwasifie kipigo cha leo ni katika kuwatia adabu kutokana na jaribio lao la kupiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

    Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye aangamizwa huko Gaza!!

    Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye ameangamizwa katika mji wa Gaza alipokuwa akijificha miongoni mwa raia katika kitongoji chenye wakazi wengi. Majeshi ya Israel kwa umahiri mkubwa yameweza kumwangamiza. Gaidi Razeq al-Madhoun alihusika moja kwa moja kwenye Ubakaji, Utekaji na mauaji ya Oct 07,2023.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

    Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope. Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang Tumepitia mitihani...
  19. beatboi

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 14 hatimaye Fid Q ameamua kumjibu Rado (usiulize) diss track

    Hili bifu limemtafuna Fid Q kwa muda mrefu na wimbo wa usiulize ndio diss track namba moja Tanzania ukimlenga moja kwa moja Fid Q Je kuchelewa kujibu kwa Fid ni uoga au alikosa muda? amekosea timing au ndio wakati wake? upande wangu nasubiri comeback kutoka kwa rado
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM hatimaye arubaini zake zimekaribia

    Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao, Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia Viongozi wa dini mpaka mtu wa mwisho kabisa ambaye ni mkulima kwa ajili ya kulikabili hili dubwana, maana...
Back
Top Bottom