hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wameamua kumkamata

    Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  3. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Baada ya mgomo wa daladala kutolipa ushuru, hatimaye Stendi ya Nanenane yaanza kurekebishwa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo. Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara. Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
  4. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

    Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu. Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wanaanga waliokwama angani Miezi 9 warejea duniani

    Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov, hatimaye wamerudi duniani usiku wa kuamkia leo baada ya kukwama angani kwa miezi tisa. Wanaanga hao...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Nicole Joy Berry apata dhamana

    Anaandika mwanadada Nicole Joy Berry kupitia ukurasa wake wa Instagram: Habari, Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote wenye Nia njema nami. Naomba sana Taarifa za MICHANGO YA FEDHA kwa Nia ya kunisaidia kivyovyote ZIPUUZWE! Mimi nina ndugu, marafiki na watu wa karibu ambao...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  8. BigBro

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zelenskyy amwandikia barua Trump warudi meza ya mazungumzo

    Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake. CREDIT: Aljazeera
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kujihisi kuchelewa imefanya wengi wachague bila utulivu na hatimaye kujichelewesha zaidi

    Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha ni muhimu kuwa na utulivu zaidi hasa pale unapojiona kuchelewa. Kushindwa kudhibiti hisia za...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

    Salaam jamiiforum Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo. Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno. Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeweza kuondokana na addiction ya JamiiForums

    Niliijua JamiiForums 2013 wakati nimemaliza mafunzo ya JKT. Nilikuwa nikifukuzia ajira za majeshi na idara za ulinzi. Sasa wakati naandika jambo google nikajikuta nimeletwa JF. Nilishangaa sana kuona kitu amazing. Kwakweli JF iko vizuri, nikawa napata updates za ajira mbalimbali , taarifa za...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatimaye! Lissu na CHADEMA wafanikiwa kuwashika CCM pabaya!

    Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hatimaye gari la taka lapita kukusanya takataka mitaa ya Singida

    Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery, hatimaye taka zimeanza kuchukuliwa kutoka...
  15. Smt016

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mungu amebatilisha Ushindi wa kulazimisha baada ya mechi kuchezwa dakika 108

    Jamani mpira ni burudani tu. Na wala kushinda sio lazima. Hata akina PSG au Liverpool huko ng'ambo hawashindi kila siku. Kwa hiyo Simba na Yanga Pokeeni meseji hiyo. Nimejionea leo uhusika wa MUNGU dhidi ya dhulma. Lile kosa la kibinadamu la chasambi lililopelekea Fountain kupata goli...
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata mchumba Mzungu, Namuoa kama mke wa pili na amekubali

    Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
  20. Soul21

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepita mtihani wa Kiswahili maandalizi kwa ajili ya Oral

    Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭 Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni nchi kwetu. Naamini Mungu ataendelea kutenda na pia mliokosa basi msikate tamaa japo utaratibu huu ni...
Back
Top Bottom