hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  2. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    h
  3. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

    Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine. Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na Ujerumani ambavyo wanasema ivtawasaidia kuishinda Urusi. Lakini Ujerumani bado haijatoa magari ya...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

    Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno. Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee. Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

    Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!! Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
  6. JamiiForums Tanzania Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two binti mdogo sana asiyejua chochote kile, hapo ndipo safari yetu ya kufahamiana ilipoanzia. Kwa akili...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

    Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina. Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  9. JamiiForums Tanzania Hatimaye Wamekiri bayana: Kumchukulia poa Urusi ni kujipeleka kwenye kipigo

    Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia...
  10. JamiiForums Tanzania Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba

    Unjani sabuwona Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A. Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but...
  11. JamiiForums Tanzania Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote. Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu. Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

    Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye Rapa (Atalaku), (Pitshou Lisimo) wa Wenge BCBG ampata Msaidizi wake Tishio Fusee De Guere

    Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
  15. JamiiForums Tanzania Huku yues fungate" hatimaye tumefika qatar"

    Aisee kiukweli siwezi kuelezea safari yangu ya fungate toka marekani missouri nyumbani mpaka qatar aisee huku yues.Habari majobless na mnaishi kwa shemeji zenu samahani kama nitawakera kwa hizi bata zangu ila pesa zipo kwa ajili yetu na nyie kuna siku mtazikamata tu huku yues. Safari yangu mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Kwema? Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church. Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mutulu Shakur hatimaye katoka gerezani

    Baba wa kambo wa Pac na baba mzazi wa rapa Mopreme, kaka yake Assatta hatimaye yuko huru, lakini ana siku chache za kuishi sababu ya kansa. Taarifa zaidi inafuata.
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefanikiwa kupata Mbolea

    Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha. Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote. Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

    Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine. Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris. Yakifungwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Lewis Hamilton huenda akashinda kesho Mexico Grand Prix

    Mzuka Wanajamvi! Katika hatua za kufuzu Lewis Hemilton aneshika nafasi ya kwanza first spot au first pole leo kwenye Mexican Grand Prix. Hii itampa uwezekano wa kuibuka mshindi kesho, baada ya mashindano mengi. Hamilton kapitia kipindi kigunu sana hasa kisaikolojia baada ya kupitia ubaguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…