hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Kubeba madeli ya Ice-cream mgongoni ni hatari kwa Afya

    Mgongo ni kiungo muhimu sana kwa afya ya kiumbe akiwemo binadamu kilichotengenezwa kwa pingili za mifupa yenye tundu katikati zilizounganishwa kwa misuli maalumu inayonesa iitwayo ligament. Mgongo una kazi muhimu sana kama vile kushikilia viungo vingine kama manya, mbavu, fuvu la kichwa...
  2. A

    DOKEZO Serikali itusaidie, Dampo la Bakhresa ni hatari kwa Afya za Wananchi wa Kijiji cha Kazole

    Muonekano wa sehemu ya Dampo Bakhresa ulivyo wakati wa msimu huu wa kiangazi. Miaka zaidi ya 10 iliyopita wamiliki wa Makampuni ya Bakhresa, walifika katika Kata ya Vikindu, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kununua eneo kwa ajili ya kutupa taka. Kwa wakati huo asilimia kubwa ya eneo lilikuwa...
  3. Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  4. M

    Changamoto za Shule ya msingi Kigarama iliyopo Kata ya Igurwa, Karagwe Mkoani Kagera

    Shule ya msingi Kigarama iliyopo katika Kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera ni miongoni mwa shule kongwe wilayani Karagwe. Shule hii kwa sasa inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo upungufu wa madarasa pamoja na shida vya matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi. Mwaka jana 2022...
  5. Boxing ni mchezo wa hatari, huku watu hawafagilii ujinga kama kwenye michezo mingine

    Kuna hii tabia iliyopo kwenye boxing, huku kwenye boxing watu watakushabikia ukiwa unashinda tu, ukipigwa imekula kwako. Kwenye boxing shinda hata mapambano 100, ila kaa ukijua siku ukijichanganya ukapigwa basi tegemea kupoteza mashabiki zako zaidi ya 85%. Ukipigwa tena pambano linalofuata basi...
  6. KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  7. D

    Crispin Ngushi ni hatari Sana

    Huyu dogo anajua sana. I didn't know his game. he needs to improve his craft kidogo kwenye finishing . I believe a few caf games. yanga ikiweza kuingia makundi. His life football story might change forever. ANA KITU ATAFIKA MBALI. he deserves more support nategemea kumuona kikosi cha taifa...
  8. Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  9. Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji

    Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...
  10. Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

    Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari. Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka. Mimi nilishangaa engineers...
  11. Nguzo za TANESCO zilizotengenezwa kwa cement ni hatari, zinazua taharuki

    Habari wana jamvi, Kama heading inavyojieleza hizi nguzo za TANESCO ambazo zimetengewa kwa cement uimara wake ni mdogo na ni hatarishi hasa maeneo ya makazi na yenye watu wengi. Awali nilijua labda zinatengenezwa ndani zinawekwa nondo na seng'enge ili kuongeza uimara kumbe ni tofauti ,hii ni...
  12. SoC03 Ulanguzi wa Dawa za kulevya kwenye masoko na minadani ni hatari kwenye ustawi wa jamii yetu

    Utangulizi. Baada ya kuja kwa ubepari , uhuru wa watu kufanya Biashara popote ilichangia kuwa na muingiliano wa wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Dunia . Hapo ndipo walanguzi wakubwa walipopata nafasi kupitisha Madawa ya kulevya, kwenye viwanja vya ndege, mipakani Kwa njia ya Barabara...
  13. L

    “Kuondoa hatari” katika mchakato wa maendeleo ndilo jambo ambalo dunia inapaswa kufanya

    Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali. Tofauti na Mkutano wa...
  14. L

    Kampuni ya Huawei yatumia teknolojia yake kusaidia nchi za Afrika katika kuhifadhi matumbawe na wanyamapori

    Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
  15. U

    Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana. Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya 1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada...
  16. Je, kurudiana na Mwanamke mliyeachana nae miaka 13 ni vyema au ni Hatari?

    Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki. Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia Comments zenu ndiyo nitaamua nimrudie au nisimrudie. Kuna Mwamba Mmoja aliniambia aliachana na Mpenzi...
  17. Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023. === UPDATE; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
  18. H

    Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  19. K

    SoC03 “Dagashida” Imulikwe, ni hatari

    Moja ya eneo ambalo limekuwa utambulisho kwa jamii husika hapa nchini, ni mila na desturi ambazo zinaweza kutofautisha kati ya jamii fulani na jamii nyingine. Takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania tunayo makabila zaidi ya 120, ambapo kabila la Wasukuma likitajwa kuwa kabila kubwa zaidi kuliko...
  20. Nimekutana na Timekeeper Deus Mwafisango, hatari Sana.

    NIMEKUTANA NA TIMEKEEPER DEUS MWAFISANGO, HATARI SANA. Anaandika, Robert Heriel Ni leo. Maeneo ya Mlimani City nilikutana na mtu hatari, jitu baya, Roho ya kale, ukimuita jitu mwitu msitu hutokuwa unakosea. Napita Eneo la samaki samaki nasikia Sauti ikiniita. Nageuka macho yangu yanapagawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…