hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  2. JamiiForums Tanzania Cha bure hata siku moja hakitokuja kukutosha

    Wanatumia jina la sheria wakijitungia wenyewe. Wanawapora watu mali zao kwa kuhalalisha uporaji wao kwa neno sheria na kanuni, wanaita kodi. Sasa hivi ni rasmi KUTOKA SH 1000/- MPAKA 1500/- Kwa jina la kodi. Ila pesa ya bure huwa haitoshi, mwakani watatamani kuongeza tena. Vitu vingi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once. Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

    Leo naandika kwa hasira. Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol? Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..! Taarifa hii hapa chini kwa uchache:- Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waandamamaji wapanda juu ya paa la nyumba ya Waziri Mkuu. Hapa Tanzania hata Dp world wauziwe nchi hamuwezi kuthubutu

    Wanaharakati wamefunika sehemu ya mbele ya jengo hilo kwa kitambaa cheusi Wanaharakati wamepanda juu ya paa la nyumba ya waziri mkuu katika eneo bunge lake la NorthYorkshire kupinga vibali vipya 100 vya mafuta na gesi ya Bahari ya Kaskazini. Wanaharakati hao wa Greenpeaceiwalisema walikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mashabiki hata wale wasiompenda Floyd Mayweather wacharuka baada ya kushindanishwa na Terence Crawford

    Ifike pahala huyu jamaa wamuache apumzike maana kwa mambo yanayoendelea sasa ni kumkosea adabu bondia bora wa muda wote na wa vizazi vyote Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior . Nimesikitishwa sana na baadhi ya watu kumlinganisha Floyd na Terence eti baadhi yao wana amini Terence...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, Rais Samia hata yeye mwenyewe anaweza asijipigie kura

    Nafahamu fika kwamba, hata CCM wenyewe hawawezi kumpa kura Rais Samia. Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu mitaani, watu wanavyomsema, watu walivyomchoka, yeye mwenyewe anajaribu tu kuchungulia anakutana na nyuso ngumu zilizojaa hasira ya kwa nini kutufanyia hivo? Anaamua akae kimya tu. Safari...
  9. JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme likikamilika sitegemei Dar iwe na barabara za giza hata kwa bahati mbaya

    Kwa sasa Tanganyika inatumia Takriban Megawatt 1,500 za umeme, ukijumlisha na zile Megawatt 100 wanazopewa bure wala urojo inakuwa MW 1,600. Bwawa la Nyerere likikamilika litazalisha Megawatt 2,100, na kufanya jumla ya Megawatt kwenye Gridi ya Tanganyika kuwa 3,700. Kwakuwa umeme unaozalishwa...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

  11. JamiiForums Tanzania Hata kama tulipigwa huko ICSID Mwangakala alituwakilisha vizuri

    Mr. Andrew A. Mwangakala Ag. Assistant Commissioner -Financial Modeling
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hata Tundu Lissu hawezi shinda kesi ya Bil 260 ICSID. Wanaohusika na kuingia mikataba mibovu wanyongwe

    Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda. Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu. Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea...
  13. JamiiForums Tanzania Hata siku moja usikubali kuhojiwa kwa lugha ya watu. Utashindwa tu

    Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa maboresho kwa Tamasha lijalo la Wananchi, hata Simba mnaweza kuchukuwa ushauri huu

    Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu. Tukirejea katika mada...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  16. JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wanavurugwa sana mtu hata hakujui anakufokea njiani

    Leo mida ya mchana nimetoka naelekea kwenye safari zangu nikakutana na mama flani ivi mfupi mwenye sura ya ugomvi sehemu kama ya kilima ivi kuna ka mteremko alivyoniona kutoka mbali kaanza kubwata kwa sauti kubwa wewe unaenda wapi nakuuliza unaenda wapi😂😂 si nakuuliza yaani nikikufikia...
  17. JamiiForums Tanzania Alichaguliwa chuo mwaka jana aka-confirm ila hakuripoti mwaka huu status bado inasoma selected kabla hata ya kuomba tena

    Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani. Sasa mwaka huu wakati dirisha...
  18. JamiiForums Tanzania Hata kama ni njaa ila hili ni balaa sasa. Dada zetu hivi mnatuchukuliaje?

    Yani mtu mmeanza kuchati tu ghafla umeshaitwa "My" na invoice juu. Hivi hawa viumbe wanatuchukuliaje? Nilichokifanya nimempa block tu, sitaki ujinga.
  19. JamiiForums Tanzania Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

    Habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke) Siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita, tukajipa moyo kesho ake tukaweka hadi mate lakn hakuna kitu tumewashilikisha mashangazi wao pia hawaelewi nini cha kufanya...
  20. JamiiForums Tanzania Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…