hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  2. JamiiForums Tanzania Hata tukifuzu kwa mazingaombwe hatuna timu ya kupeleka AFCON 2023

    AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana tayari wameonekana ni liability katika timu pamoja na kwamba kuna viongozi pale Simba wanamkingia...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Mafuriko haya makubwa ya Brazil sasa hivi Kocha Roberto ataomba Udhuru hata kama hayajatokea Mji atokao

    Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao. Mwenye namba ya Simu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kuna uongozi na Utawala, Ipo siku utawala utakoma (Mungu alichonionesha)

    Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake. Yeye uangalia anachotaka na maslahi yake. Ananguvu za utawala, waweza dhani anakuchekea kumbe rohoni...
  6. JamiiForums Tanzania Hata nchi ikienda upinzani mnaweza msione tofauti!

    Angalizo: bandiko hili linahitaji utafakari wako na sio hisia ama uchama na uchawa!. Binafsi sina Imani sana na vyama vya siasa katika makuzi ya nchi haswa kiuchumi. hii nikutokana na namna vinavyoenenda,hulka za wanachama wengi wa vyama hivyo n.k. Nimeuangalizia upinzani kwenye nchi yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Hata mkisusia Mialiko ya Hafla zetu kwa Chuki, Wakatoliki kupitia TEC msimamo Wetu kuhusu 'Wanyonyaji' DP World haujabadilika na hautabadilika Abadan

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 3,2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Mhashamu Askofu Thomas John Kiangio Kanisa Kuu la Mtakatifu Antony wa Padua, Chumbageni Mkoani Tanga. Chanzo: owm_tz Na Ibada ya Jumapili ijayo katika moja...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  9. JamiiForums Tanzania Ifahamike kwamba hata Kamishna wa sasa wa TRA alivuliwa hadhi ya ubalozi na Magufuli

    Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania. Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu. Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa maskini sana hata mbwa wako anaweza kukung'ata!!

    Umaskini ni tafsida ! Unaweza kuitumia kwa ujumla au kwa mtu Mmoja Mmoja ! Tukiwa kama nchi mbele ya mataifa mengine nchi yetu inaitwa maskini. Hata viongozi wetu wengi wanapotoa hotuba zao mbele ya mataifa yaliyoendelea wanajitambulisha kama nchi maskini ' ukisema hivyo unajumlisha wote...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kapteni Edward John Smith alisema 'Hata Mungu asingeweza kuzamisha hii Meli' (Titanic)

    Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912. Jambo la kutafakarisha, imekuwa ikidaiwa kuwa aliyekuwa kapteni mkuu wa Meli hiyo Edward John...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

    Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai. Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu. Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo...
  14. JamiiForums Tanzania Hata Mikoa mingine ya Tanzania inahitaji Uitembelee na siyo wa Arusha tu pekee mpaka wanaanza Kukuchoka sasa

    Ngoja taratibu nianze kuangalia Arusha kuna Rasilimali gani na labda unaweza Kuwekeza katika lipi Ukishirikiana na Wazungu ( hasa Wamarekani ) na Waarabu ( hasa wa Yemen na Dubai ) ili GENTAMYCINE nisije kuwa Namlaumu tu Mtu bure.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa tukio hili, siku hizi hata mke wangu akinidanganya nitamwamini

    Miaka ya nyuma kidogo wakati niko msela alikuja single mama 1 ambaye tulikuwa na mahusiano ya kunyapia nyapia lkn ujio wake kwngu siku hiyo haukuwa kwajili sex kwa maelezo yake, baada ya kufika kwangu. Mwenzio nimepata ajali nimeanguka na pikipiki nisaidie tu kama una dawa za kutuliza maumivu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

    Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo. Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
  18. JamiiForums Tanzania Umeme haujakatika Tanzania tu siku ya leo 26/08/2022 hata kenya umekatika, ushahidi huu hapa.

    Hii ni coincidence au hii kitu ilipangwa sitaki kufikiria negative ila ukweli ndio uwo. Taarifa hizi nimezipata toka mtandao wa reddit r/kenya
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwisha habari yetu hata misitu ya asili tunahitaji wawekezaji!

    Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje. Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…