hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna gold-digger aliwahi maliza salama hata mmoja

    Wanawake mnaovamia vibabu au matajiri ili mrithi mali wakifa au ili mfaidi, au ili muzalishwe mpate matumizi ya watoto, jueni moja kwamba hakuna gold digger hata mmoja aliyemaliza bila kujuta. jifunzeni kwa wenzenu.
  2. JamiiForums Tanzania Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mgao huu wa umeme bora hata January Makamba

    Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi. Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2...
  4. JamiiForums Tanzania Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

    Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
  5. JamiiForums Tanzania Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

    Habari wanaJf! Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

    Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
  8. JamiiForums Tanzania Ambao hamjafika Ulaya au hata SA!

    Kwa ambao hamjawahi kwenda Ulaya Au hata SA mjiandae na socket hizi za matobo ya duara unlike zile four angle zetu tuzozizoea; na siyo Ulaya tu Yaani nchi zote zilizokuwa colonized na Europeans wengine ambao sio Uingereza ni duara tu iwe Rwanda, Mozambique au nini sijui Yaani UK ndo wametupa...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe hata tukiwa Ugenini Kigali Rwanda bado tunaendeleza yale Masharti yetu ya Mganga wa Mtwara?

    Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie...
  10. JamiiForums Tanzania Hata kama hujazoea hiki kitu katika mahusiano, chukua hatua bado mapema sana

    Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako. Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye biashara, unakuwa pia hauko huru sana na biashara hiyo, lakini inafika muda...
  11. JamiiForums Tanzania Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

    Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi: - Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu. Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya...
  12. JamiiForums Tanzania Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye mahusiano na Single Mother anaejitambua hata kama hutamuoa yeye hakika utapenda uoe uwe na mke

    Salamu jamii, Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu. Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini. Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata bahati ya kuwa na mahusiano na Single Mother anaejitambua hakika hata kama hutomuoa yeye basi iwe...
  14. JamiiForums Tanzania Hili Vibe la Wanaosafiri kwenda Pele Stadium Kigali Rwanda liwepo hata mkirejea Dar baada ya Kufungwa na Msudani

    Ndugu yangu Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima (Fabregas) kawajazeni Upepo ( Kawasifieni ) nanyi mlivyo Mapimbi na Maboya mmejaa na Kujiamini mkidhania Msudani ni Mjibuti mliyemuonea kwakuwa Kwao kuna Utapiamlo na Wachezaji wao Wote walikuwa na Njaa + huo Utapiamlo. Mwanamume ws Shoka ( Mumewe...
  15. JamiiForums Tanzania Nimegundua hata wakiungana ni vigumu mno kuishinda CCM-2025

    Mfano, kura halali pekee; CCM wakapata 51% CHADEMA wakapata 32% ACT wazalendo wakapata 5% CUF wakapata 3% NCCR-Mageuzi wakapata 2% vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7% Nilihisi wakiungana wataishinda CCM kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
  16. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi katika mataifa yaliyoendelea hupeleka matukio mahali wanakotokea huku wakiwa viongozi wa kitaifa?

    Juzijuzi rais kaja na kizimkazi kabla hapajapoa waziri mkuu kaja na rwangwa marathon tukiwa hatujui mpango ataibuka na nini kule Buhigwe, kabla hatujasahau yale ya tulia kula Mbeya. Nimesikia aibu sana leo baada ya waziri mkuu kushindwa kutoa hotuba inayoashiria kuwa yeye ni kiongozi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke hata mwenye mtoto

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 1. Ni msomi ngazi ya Bachelor Degree 2. Kazi yangu ni usafirishaji wa mizigo. 2.Dini ni mkristu. SIFA ZA MWANAMKE NINAYE TAFUTA 1. Awe tayari kuolewa. 2. Hata akiwa na mtoto ni sawa. 3. Awe dini yeyote. 4. Awe hajawahi kwenda jela au asiwe na jinai. Aliye...
  19. JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  20. JamiiForums Tanzania Hata tukifuzu kwa mazingaombwe hatuna timu ya kupeleka AFCON 2023

    AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana tayari wameonekana ni liability katika timu pamoja na kwamba kuna viongozi pale Simba wanamkingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…