hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
  2. JamiiForums Tanzania Nina mwanaume ambaye hata kale 'kamoja tu' huwa ni shida

    Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu unaona tayari kamalizia mkononi hata hajafanya kabisa na ikitokea hivyo basi anavaa analala. Huwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hakuna Chombo cha Habari hata kimoja kilichohojiana na Mgombea aliyeenguliwa

    Katika hali isiyo ya kawaida vyombo vya habari za Tanzania vimeripoti malalamiko ya Vyama vya upinzani kuhusu kuengeliwa kwa wagombea wao lakini hakuna chombo kilichothubutu kuhoji wagombea husika. Wagombea waliopitishwa wanajulikana na wagombea waliokatwa majina yao sambamba na sababu za...
  4. JamiiForums Tanzania Dada yangu hata kama anaku post

    My sister Haijalishi ni mara ngapi mwanaume wako anakuposti, Always lazima kuna yule mwanamke wake pembeni ambaye anaelewa kila kitu na ameridhika.
  5. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa ikikutana na Simba hii itafungwa goli hata 11

    Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia Azizi Ki baada ya kufanyiwa sub alipanda gari na kuondoka hata kabla mechi haijaisha

    Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae hata Yanga hawakujui wala hunufaiki chochote na Yanga) Jamaa anasema Aziz Ki mara baada ya kufanyiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

    Wanabodi Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo Huisha,, Yawe mazuri hata kwa kiasi gani. Binadamu tukubali tu.

    Jambo lolote lile zuri, Unaloliona leo litafika mwisho tu. Tukubaliane na hali ili maisha yendelee. Wanaume tukubali tu. So usiwekeze sana nguvu na mali kwa mwanamke wako hata kama unamuona mzuri na mrembo kiasi gani.. Wanawake msiweke akili zenu na kujikita sana kwenye kuhudumiwa intensively...
  11. JamiiForums Tanzania Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

    Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo? Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

  13. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya taa kuendelea kuwaka hata zikizimwa?

    Yaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna tatizo ni kawaida (means ameshindwa kujua tatizo) Sisi wengine tuna tabia ya kutopenda mwanga basi...
  14. JamiiForums Tanzania Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?

    Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
  16. JamiiForums Tanzania Tupambane tuweze kujenga angalau vijumba kama hivi

    Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
  17. JamiiForums Tanzania Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')

    Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hata uwe una hela Kiasi gani huwezi kununua?

    Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15. No way 😤 No matter how rich you are, one thing you might not waste your money on is superficial luxury items...
  19. JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wanakufa wameacha legacy, wenyewe wanakufa wameacha kisilani. Hata kama ni ngazi ya ukoo!

    Na kalaga baho Nongwa Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya". Huko ukikaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…