hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

    Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakati semenary tunafundishwa ukakamavu na mafunzo ya karate sikuelewa, kumbe ilikua kujiandaa kujihami hata na watekaji!

    Pumzika Kwa amani father A. Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita. Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee. Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Mtu anajiita Msomi halafu inapita Mwezi au Miezi hajafungua hata Email yake ajue kuna nini, kwanini Dotto Magari 'asitudharau' tu na Kumnunia?

    Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa...
  4. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Rais, hata kama unampenda lakini Masauni si Mtu sahihi Kwa nafasi ya Waziri wa Mambo ya ndani.

    Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

    Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui. Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic uliosahaulika kwa miaka mingi siyo sijui Suu wengine wakifunga wanatembea tu, kwamba washajiona wakuuubwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

    Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa. Na wataalam wa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

    Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo. Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku. Ambapo katika uapisho huo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Iran kapiga kwenye mshono bila hata ya vita

    Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄 Iran kafanikiwa kushinda vita kabla hajanza, kwa kuyafedhehesha mataifa kama US, UK, France, Germany na Nato kiujumla. Kayafedhesha kuwa...
  12. Sexer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coastal union inaenda CAF confederation hata pasi tano kupiga kwa pamoja haiwezi, noma sana

    Today I just watched the worst match among top teams in Tanzania. Coastal Union can't coordinate 5 passes, and today it's going to CAF. And do what? Singida or KMC could have done a better job. This is probably the worst team to go for CAF Confederation in Tanzania in recent years. TFF should...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dhambi 5 zisizoepukika hata kwa washika dini

    Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi. 1. Uongo 2. Uzinzi/uasherati 3. Dhuluma 4. Ubinafsi/Uchoyo 5. Chuki
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili jibu la TABOA hakika nimelipenda sana kwani hata na 'Mwenyewe Mwenyewe 2025 Tena' nae anachukua kweli kweli Rushwa bila ya Huruma

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni Jeshi la Polisi pekee kwa sababu wanavaa nguo nyeupe lakini ipo kwa wakaguzi wote. John amesema hayo...
  16. Mfilipi WaTanzania

    JamiiForums Tanzania Hatuwatendei haki wakulima hata kidogo

  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

    Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16. SWALI Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam? kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake Sura ya An-Nisa...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi: Huna hata kombe la kuonyesha kwanini shughuli yako isiwe ya muda mfupi.

    Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia kwanini shughuli isiishe mapema Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂 Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

  20. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti aliyeniambia hata tukiwa wawili duniani siwezi kuwa na wewe anataka tuwe na mahusiano

    Habari ndugu zangu. Miaka miwili iliyo pita nilitongoza Binti mmoja mitaa ya home akanichomolea nje.sikukata tamaa mapema nikamrudia kipindi Cha pili majibu alio nipa ni kama hapo juu kichwa nilicho andika. NO ONE WILL DIE VIRGIN BECAUSE LIFE F&CK ALL OF US Mtakao Sema chai nimewawekea na...
Back
Top Bottom