hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini: hakuna gazeti hata moja lililoandika habari hiyo!

    Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
  2. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Usipojiandikisha na usipopiga kura, hutakuwa na haki hata ya kusema nimeibiwa kura

    Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura, Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni. Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa kuanzia, vinginevyo tukae kimya sasa na hata baada ya uchaguzi
  3. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Moroko anza na Saaduni leo hata kama umeshapanga listi pangua mzize weka nje!

    Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio...
  5. KENZY

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  6. G

    JamiiForums Tanzania Swahili Subtitles: Netanyahu amcharua Rais wa Ufaransa "Tutashinda vita hata mkikataa kutuuzia silaha aibu inawasubiri"

    Mods tafadhalini msiunge huu uzi, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo). Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82) Marekani huisaidia Dola...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hata hii nayo tutauza kwa mabepari?

     Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.! Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...
  10. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Yule mzee wa IOC kuna kitu muhimu alìongea ambacho hata Chadema walitakiwa kusupport

    Naam ndg zangu katika Imaaan. Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu wataanza kumwaga matrilioni ya shilingi tayari kuanza ujenzi mpya wa bandari kubwa duniani ambayo...
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Hata makondakta wa daladala wana D2, na kwa hili wamesomea CUBA

    Mhadhara 31: Leo naomba niwajuze abiria wa daladala jambo ambalo makondakta wamesomea CUBA, na jinsi ambavyo wanatumia vizuri D2 za shuleni. 1. Matumizi ya D2: Kumbukumbu walizonazo makondakta (tingo) za kuwakumbuka abiria wote ambao tayari wamewatoza nauli, na abiria ambao bado hawajawatoza...
  13. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

    Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya watu huwa na washangaa sana. Huenda na wao pia huwa wananishangaa

    Mungu awe nanyi nyote. Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya. Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho ufanye kitu kingine anakuambia hawezi acha kwa sababu flani fulani zisizo hata na mantiki yoyote...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

    Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba yao, sheria zao, haki zao na wajibu wao. Kujitolea huku kuwa mwalimu wa somo la katiba, na sheria, haki na wajibu, nimehamasishwa na mtu huyu hebu msikilize mwenyewe...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiwa mbele za watu anakua baby kweli kweli ila mkiwa chumbani hataki hata kugusana

    Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani. Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura. Ile closeness...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huruma, upendo na msaada wa Mungu ndiyo msingi wa mafanikio yako kisiasa, kijamii na kiuchumi

    Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu. Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni Upendo wa Mungu tu Na unapoelekea ni pekee Msaada wa Mungu ndiyo wa kukufanikisha. Jifunze kua na...
  18. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii imekaaje? Anaenionganishia dili anauhitaji kuliko hata mimi! Cheki sms yake.

    "kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?" Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu. Je, umewahi kukumbana na kisanga cha...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
  20. sindano butu

    JamiiForums Tanzania kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
Back
Top Bottom