Balozi wa Marekani Burkina Faso, Joann Lockard, ameomba kuonana na Captn. Traore, ila Captn akamjibu ana shughuli nyingi na akamtuma Waziri wake wa Mambo ya nje,mwezi huu.
Utakumbuka nimeripoti hapa kuwa baada ya Trump kuwapiga marufuku raia wa Mali, Niger na Burkina Faso (sawa na wetu wa...