hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukidhibiti hasira waweza pia kumdhibiti mke jeuri.

    In natural mwanamke yeyote huwa anajisikia vizuri Sana akihudumiwa na mumewe hasa kwenye mahitaji ya msingi na extra. Unapogharamika kwenye mahitaji yake kwa kumnunulia mavazi akawa wa kuvaa na kupendeza, bila kusahau kumkatia pocket money hata kama mahitaji yote nyumbani yapo, huku ukimletea...
  2. Unafiki na Upuuzi kama huu ndiyo huwa unanifanya niwe na Hasira na Awamu hii ya Mama yenu

    THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has been instructed to suspend all operations involving arresting traders, as well as suspending inspections on electronic fiscal devices receipts for at least one month. Thobias Makoba, the chief government spokesman, late yesterday that this was the first...
  3. Hasira za Gen Z ya Kenya; Chanzo Chake ni Umaskini Uliotopea

    Wengi wanaona Watanzania ni legelege au hawatambui haki zao ndiyo maana hawachukui hatua dhidi ya maamuzi ya wanasiasa. Wanatamani vijana wetu wangekuwa kama vijana wa Gen Z wa Kenya ambao kwa siku mbili wameteketeza mali zenye thamani ya mamilioni kwa hasira za financial bill 2024. Matajiri...
  4. Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

    Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19 #mgomo KARIAKOO 24/6/2024 Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
  5. Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  6. Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

    Hellow Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue . Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira...
  7. M

    SI KWELI Mtu mwenye hasira akikung'ata huweza kukuachia sumu itakayokusababishia madhara

    Nimewahi kusikia mtu akikung'ata akiwa na hasira anaweza kukuachia sumu ambayo inaweza kukuathiri, athari hutegemeana na kiwango cha hasira atakachokua nacho. Je, kuna ukweli wowote?
  8. PreGE2025 Wanawake wakipewa madaraka wanaongoza kwa chuki ili kukomoa wanaume, hasira zote zinahamia kwetu. Tutakutana 2025!

    Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewa kijinsia. Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache kutafuta...
  9. SoC04 Kutoka Mito Hadi Mitaa: Safari ya Maji Yenye Hasira ,Tafakari za Mafuriko na Mustakabali wa Miji Yetu

    Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine, hasira ya asili. Mito huanza safari yake kutoka vyanzo vya maji. Vyanzo kama chemchem, maziwa, na...
  10. PreGE2025 Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

    Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter truth.” Kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili tunaweza itafsiri kama “Hakuna urafiki bila maslahi...
  11. T

    Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na...
  12. Hasira hasara

    Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia. Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and...
  13. M

    Hivi kwanini wafanyakazi leo wamenuna na wana hasira balaa, nini kimewakuta

    Hii sio haki Hayo ni maneno ambayo walikuwa wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi, Hii sio haki na tunaonewa sana na hawatuthamini sasa nawauliza ndugu zetu mmepatwa na nini siku ya leo? Maisha ndio haya haya mmeongezwa au mmejiongeza wenyewe bila kujua. Nini kimewakuta kwenye...
  14. KWELI Mtu akikung'ata anaweza kukusababishia madhara makubwa

    Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata anaweza kukuachia bakteria ambao wanaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na kiwango cha bakteria atakachokuachia? Hii ni kweli wataalam?
  15. Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika...
  16. Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  17. S

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme...
  18. Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
  19. Kwani kuchaniwa faini ndiyo kunakufanya uwe na hasira?

    Jambo hili nimeliona sana kwa madereva wengi wa gari za abiria.Akichaniwa faini kwa makosa mbalimbali akitoka pale kama amekorofishana na mtu.Ndiyo nauliza kwanini hii tabia hutokea?
  20. Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…