Hivi kwanini wafanyakazi leo wamenuna na wana hasira balaa, nini kimewakuta

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
11,082
28,863
Hii sio haki
Hayo ni maneno ambayo walikuwa wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi,
Hii sio haki na tunaonewa sana na hawatuthamini sasa nawauliza ndugu zetu mmepatwa na nini siku ya leo?
Maisha ndio haya haya mmeongezwa au mmejiongeza wenyewe bila kujua.
Nini kimewakuta kwenye siku yenu muhimu ya leo.
 
Hii sio haki
Hayo ni maneno ambayo walikua wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi,

Nini kimewakuta kwenye siku yenu muhimu ya leo,
20240501_171206.jpg
 
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu....."

Yer 17: 5
 
Ni wapuuzi, yaani kila mwaka wanataka Rais awe mgeni rasmi mei mosi ili awatangazie kuwapandisha mishahara minono, posho na marupurupu makubwa wakati nchi ina wananchi wengine nao wanahitaji kuboreshewa huduma za msingi.
 
Hii sio haki
Hayo ni maneno ambayo walikuwa wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi,
Hii sio haki na tunaonewa sana na hawatuthamini sasa nawaulizandugu zetu mmepatwag na nini siku ya leo?
Maisha ndio haya haya mmeongezwa au mmejiongeza wenyewe bila kujua.
Nini kimewakuta kwenye siku yenu muhimu ya leo.
May Mosi oyeeee, Wafanyakazi oyeeeee, serikali ya Mama Samia oyeeeee.

Vipi Wabunge wa Bunge letu tukufu la JMT mishahara na Allowances zao kwa mwezi ni kiasi gani?
 
Yaani ni bora kuwa wadudu....over caz wamethaminiwa kuliko..
 
Back
Top Bottom