hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wana hasira za karibu kuwazidi wapare?

    Katika ku interact na watu wengi wa makundi mbali mbali kitu nilichowahi kunotice wapare ni watu wenye hasira za karibu sana lakini uzuri zinaweza kushuka fasta pia. Nimeishi na watu wa Mara na wamasai utofauti wao hawana hasira za karibu isipokuwa wao wakipandwa na hasira ni ngumu kuzishusha...
  2. ITR

    JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  3. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Hasira hasara,tuishi kwenye misingi ya utu na ukweli

    Kuna Uzi humu nimeuona jana unaongelea ongezeko la watu wasio na hofu ya Mungu mtaani Ki msingi ni kweli hata humu mtandaoni maneno ya Mungu yenye kutumika kama meme ni mengi lakini pia hata watu walio asi kwenda misikitini na makanisani idadi yao ni kubwa pia. Mtaani watu kujichukulia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hasira zako zinakuendesha au unaziendesha?

    My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ikitokea YANGA wakakubali kucheza derby SIMBA atachezea goli nyingi sana sababu ya HASIRA alizonazo YANGA

    Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi. Sasa SIMBA wasiombee YANGA ikakubali maana watachabangwa goli zisizopungua 6. TAKE THIS FROM ME.
  6. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mike Tyson aliingia katika Uislamu kwa Hasira tu na mihemko. Simwoni kama ana Uislamu

    Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama. Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Saed anyamaze asizidi kututia hasira. Anaongea sana. Haya maneno gani sasa?

  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  10. iamriq_arthur

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

    Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana Shida inakuwa nini....?
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano. Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
  12. BORNNAGAIN

    JamiiForums Tanzania Hasira na makwazo huondoa vilemba vya wema na busara feki tunazojivika

    Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu persona—tabia tunazojitambulisha nazo mbele ya watu tunaowahitaji kama nyenzo ya mahusiano—mfano tabasamu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe kajisahau sasa anaweka hasira na sio uzalendo

    Mbowe anaona vijana wake anao walea na kuwaleta mjini wana dharau. Lakini anasahau inawezekana kabisa wana nia njema ya kuiokoa Chadema na Tanzania. Kwa Watanzania wengi wnakubaliana na Lissu na wengine kwamba ni lazima mabadiliko yafanyike kwa manufaa ya umma. Nimeona Leo Mbowe akimkaripia...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  18. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka zijitahidi kuzuia wananchi wasigeuke kuwa "Wananchi wenye hasira Kali"

    Salaam, Shalom!! Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka. Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
Back
Top Bottom