hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

    Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa. Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

    Kwema wanaJF, Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitoa ruzuku ya shilingi bil. 153.7 kwa ATCL na shirika limepata hasara ya bil. 153 huku zaidi ya tril .1 ikitumika kununulia ndege

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020. Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania? Hivi viongozi wa nchi hii wanaohusika na ufanyaji wa maamuzi wako mentalily fit na zaidi wako comfortable na hali hii? Halafu bado...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la ATCL kupata hasara ya Tzs bilioni 60 na kuendeshwa kihasara kwa miaka 5

    Mwishoni mwa mwezi Machi Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti mbili za CAG na TAKUKURU na moja ya mambo yaliyoibuka na kuchukua mjadala mpana na mkubwa sana ni hatua ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Kichere kusema kwenye ukaguzi wao wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

    Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL. Hasara na upotevu huu...
  6. JamiiForums Tanzania CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
  8. JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu biashara ya Stationary, Mbinu, faida na hasara

    Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara. Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara. Asante ni.
  9. JamiiForums Tanzania Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika

    Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
  10. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mwanafunzi kutumia simu shuleni (mdahalo)

    Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza KARIBU MTU KANYE TUJITETEE.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hasara itokee isitokee mambo aliyofanya Magufuli hata vipofu wameyaona

    Ndio basi tena his legacy will live forever. Ni kwamba eti Hasara itokee isitokee Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia. Ndio hivyo ndugu zangu. Kama unaumia Nenda kabomoe Ubungo na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya Usafiri wa anga katika Afrika yanajiendesha kwa hasara

    Na Victor Wilbard. Kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia inayohusiana na taarifa a kila mwaka za usafiri wa anga " World Bank Report; Air transport annual report" mwaka 2016 ilionesha kuwa usafiri wa anga unaohusisha hedge za abiria ukiendelea kufanya vizuri katika mataifa yaliyoendelea kwa...
  14. JamiiForums Tanzania ATCL na Hasara ya 60 Billion: Mtazamo Wangu

    Habarini za wakati huu. Leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali C.A.G, ametoa Taarifa yake na kukabidhi kwa Mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan. Katika taarifa hiyo imeonesha hasara ya Tsh. 60 Billion zilizo sababishwa na shirika letu la ndege la ATCL...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

    Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
  16. JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika jamii yana faida na hasara zake

    Zamani haikuruhusiwa binti kuzaa nje ya ndoa. Ikitokea binti amepata ujauzito kabla ya ndoa, wazazi walimlea mpaka anajifungua na akisha jifungua mtoto anatolewa kwenda kuasiliwa. Wazazi wengine waliwapeleka watoto wao kwenye nyumba za watawa. Kule mabinti walifanya kazi ya kufua nguo, kuanzia...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

    Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzuia uingiaji na usafirishaji nje bidhaa zifuatazo tumetengeneza faida au hasara?

    Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi? Tulidhibiti usafirishaji wa mazao ya chakula nje hasa Kenya ambayo inategemea chakula kutoka kwetu, je Hali ya soko la ndani...
  19. JamiiForums Tanzania Nipe faida/hasara za kulala kwenye Vitanda hivi

    Wewe mume/mke wa mtu? Kama ndio Nipe faida/hasara za kulala pamoja kwenye kitanda cha 6 kwa 6 ukilinganisha na 3 kwa 6. Toa mapendekezo yako? @2009
  20. JamiiForums Tanzania Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

    Tabia ya kupenda kukaa peke yangu bila kuwa na mazoea sana na washakaji ama majirani, kuna siku niliumwa wakuu nikakaa ndani siku nzima nakunywa maji tu hakuna anayejua kama naumwa. Homa ilinikamata vibaya nje sionekani washakaji na majirani wakajua ndio kawaida yangu kuwa ndani kumbe mwenzao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…