hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

    Muda mfupi baada ya moto kuwaka katika Kiwanda cha GSM Industrial kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa kiwanda hicho, Salaah Mohamedi amesema wamepata hasara kubwa kutokana na moto huo uliowaka leo Jumapili Machi 13, 2022. "Chanzo hatujui hadi sasa, nilipigiwa simu saa 12...
  2. JamiiForums Tanzania NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika ndio atakayepata hasara katika vita kati ya Ukraine na Urusi

    Kinachoendela hivi sasa kati ya urusi na Ukraine katika ile miji ya donbas ni hatari kwa africa. Urusi imeitambua miji ya Donetsk na Luhansk kama nchi huru zinazojitegemea, haya maeneo kijiografia yamepakana na urusi lkn kwa makubaliano ya umoja wa mataifa baada vita ya pili ya dunia ni sehem...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imeokoa Trillion 3 za hasara ya foleni Ubungo flyover?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover. Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu metaverse, faida na hasara zake

    Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa? Ni nini faida na hasara za hii kitu?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hasara katika biashara

    DIS-ECONOMIES OF SCALE Hiki ni kinyume cha economies of scale. Ni kitendo cha gharama za uzalishaji kuongezeka kadri unavyoongeza uzalishaji wa bidhaa. Mfano: Una fuso lako la kusafirisha mizigo, mwanzoni ukaona hulitendei haki kwa kubeba mizigo michache, ukaamua kuongeza mizigo. Kitendo cha...
  7. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kufanya biashara kwa kutumia Cheki(Check,Cheque)

    Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza ni Je ku na faida gani mtu kutumia Check badala ya Cash? Nianze kwa kueleza kidgo check ni...
  8. JamiiForums Tanzania PAC: ATCL ilipata hasara ya Bilioni 60.24 kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020. Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka ameyasema hayo leo Alhamis Februari 17, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati kwa kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara. Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi unakubaliana na kauli kwamba Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara?

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaposema Simba inajiendesha kwa hasara mnafikiria nini?

    Naomba nipate ufafanuzi.Iwapo Simba inapata hasara kwa uwekezaji wa Bilioni 20 +25 tunazoambiwa,je huyu Azam media angepata faida gani kuwekeza bilioni 48 kwa Simba? Je, Simba ikiamua kutangaza biashara yoyote,mfano ya bia n.k,wanaweza kulipwa kiasi gani kwa mwaka? Je, Simba hii, hii...
  13. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

    Kichwa cha habari chahusika. TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa. Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
  14. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

    Ndugu mwanamichezo, una maoni gani kuhusu kauli ya Mo Dewji aliyoitoa leo alipotembelea kikosi cha Simba, Bunju Complex
  15. JamiiForums Tanzania Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  17. JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  18. JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za DRC kujiunga EAC

    Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa kuibiana, na dhulma za walioko nje ya nchi muhanga, itakapopata washirika wa africa masharik wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

    WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
  20. JamiiForums Tanzania Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…