harmonize

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  2. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

    Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watangazaji E FM waponda mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, waufananisha na wa Harmo Rapa

    Watangazaji wa kipindi cha Transformer cha E FM wamekosoa mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, wakifananisha muonekano wake na ule wa msanii Harmo Rapa.
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

    Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
  5. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Nipo Uganda kuna ngoma ya Harmonize na Pallaso 'Only You' ni hatari

    Aisee sijajua kwanini harmonize hajaifanyia promo hii Collabo yake na huyu mganda ila kwangu naona ndio nyimbo yake Bora aliyoshirikishwa mwaka huu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi Tanzania 2024

    Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia. Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1. Marioo 2. Diamond Platnumz 3. Harmonize 4. Alikiba 5. Zuchu Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024 1. Hakuna Matata- Marioo 2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Wanawake fanyeni Surgery mpendeze kama Ex wangu, sina mahusiano na Malaika

    Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Darasa Mmefeli sana kwenye Video ya Mazoea

    Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani. Hebu angalia Video ya wimbo wa Diamond na Jux unaoitwa Ololufe uone wenzako walivyo serious na kazi. Kama mlikosa hela...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hapa harmonize kakosea nini ? ,Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?

    Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa . Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ? https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

    Wakuu, Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola === Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi😂😂
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Harmonize umekurupuka, eti amepiga marufuku wimbo wake 'Yanga Bingwa' kuchezwa popote kisa kipondo cha aibu na Tabora United

    Wakuu Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii. ===== Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Harmonize mshitaki Tundaman kwa kukuharibia wimbo wako " Yanga hii inafungwaje"

    Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki? Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe. Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
  14. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Harmonize kashuka kimuziki

    Moja kwa Moja kwenye mada. Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki kipindi bado yupo WCB alikua akitaftiwa collabo na wasanii wa nje ya nchi hasa Nigeria ili ali wini soko hilo la nje...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muonekano rasmi wa Tuzo za Muziki Tanzania 2024

    Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

    Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao. Una mshauri vipi bwana Kondeboy kwenye...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Harmonize kapotea kwenye game sasa hivi

    Hivi harmonize ni kama game limemshinda kabisa hakuna wimbo wake unao hit sana ni kama mziki umemshinda show now anapiga za humu humu ndani njee, sio kama zaman au jamaa. Ndio kafirisika.
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Leo nimewakumbuka Jakaya Mrisho Kikwete, Thomas Sankara, na msanii Harmonize katika mambo haya!

    💼MHADHARA WA KUMI (10) Yawezekana mwenzetu umekuwa Bosi au utakwenda kuwa Bosi mpya kwenye shirika, kampuni, taasisi, au ofisi fulani. Najua unajua lakini ngoja tukumbushane; Kuna tabia ya baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi, mashirika, makampuni na maeneo mengine ya kazi huwapokea mabosi wapya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Dullah Makabila zawavunja mbavu mastaa, Ruby, Ray the Boss wamaindi

    😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂 Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
Back
Top Bottom