haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Sisi waislamu hatuwatambui hao masheikh wahuni walioungana na haramu

    Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari. Inshallah mwenyezi Mungu atatupa kheri kwenye hili. Nye mwaona madevu mwaita sheikhe au mwaona kilemba...
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahamiaji haramu waliohodhi madaraka wahusika kudhamini mauaji kulinda maslahi yao

    Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao. Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na wahamiaji haramu. Polisi wa ngazi ya chini hawana ujanja tena zaidi ya kulinda wanamtandao. Polisi na...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, waziri mkuu anajikomba kujifanya anatembelea hospitali kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi

    je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii. Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
  4. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninampongeza sana Godbless Lema kwa kuweka maslahi ya familia yake mbele na kuyakwepa maandamano haramu kijanja.

    "Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama". Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo. Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  11. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kusalimisha silaha haramu ni kila mwaka?

    Wakati Jeshi la Polisi nchini likitangaza msamaha wa miezi mwili wa kutoshtakiwa kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume, imebainika kuwa misamaha hiyo imekuwa ikitolewa mara kwa mara kiasi cha kuibua hoja ya usalama wa wananchi ikiwa watu hao wanajimilikisha silaha na baadaye kupata misamaha...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Chaumma na ACT , na baadhi ya vyama vile 11 watapewa viti vya Ubunge na udiwani kuhalalisha haramu

    Time will tell! Mark this thread!
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Muhamiaji Haramu akiingilia Uchaguzi Faini Sh Milioni 5 au kifungo cha Miaka mitatu au vyote

    Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili?? Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya mahojiano na Kituo cha Shamba FM Radio anajibu... Pia soma ~ Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  17. H

    JamiiForums Tanzania SAMIA: Aliyepitia Njia Haramu, Haiwezekani Awe Halali

    Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama. Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya...
  18. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

    Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Yanga tunaomba Wasabato mashabiki wachinjiwe ng'ombe, ngamia ni haramu kwa Wasabato.

    Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

    Tanzania kila kitu kinawezekanika. Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea...
Back
Top Bottom