haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Wafuatao wasalimiwe haraka sana kupitia mali zao

    Wapinga Haki wote!
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    Wananchi tumeshachukua nchi yetu. Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman. Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
  4. JamiiForums Tanzania WAFUATAO WAFUKUZWE YANGA SC HARAKA SANA

    Edmund john - anacheza kama kondoo Offen Chikola - sio level ya yanga Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga Mwamnyeto - mchawi
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  6. JamiiForums Tanzania Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

    QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA _ Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo. "Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
  7. JamiiForums Tanzania Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

    Hello Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha nika ziweka jikoni zikichemka baada ya mda nika weka samaki vichemke kwasbabu samaki achelewi kuiva so...
  8. JamiiForums Tanzania JWTZ tunaomba msaada wenu wa haraka

    Naomba mtusaidie, kwa leo tuu nimeona wamepotea watu wasiopungua watano, na ambao wanapotea bila taarifa hapo bado hatujajua. Hembu hili jambo fanyeni kweli, sio jambo la kisiasa tena hili nahisi KUNA BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU INAFANYIKA. JESHI LETU WAKATI NDIO HUU. Leo nimeona watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji Microsoft 365/Office ya Halali kwa Haraka

    Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops). Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP. Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango ikiwapendeza mjiuzulu haraka

    Ushauri wangu. Hizi nafasi zenu zinaisha ndani ya wiki chache zijazo, mbele ni Giza... Achieni hizo nafasi kama kweli mlikuwa na heshima na Magufuli
  11. JamiiForums Tanzania Video: Ngumi kwenye karamu, kila mtu na wake, ndio maana wanaume tunakufa haraka

    Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Urgently: Rais Samia nakuomba fanya jambo hili haraka sana uwasaidie wazazi wanao somesha Kayumba

    Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku getini mtoto haruhusiwi kupita getini. Mbaya zaidi hadi wakati wa likizo kama huu walimu...
  14. JamiiForums Tanzania Saa 3 usiku bado mbali ngoja nilale ifike haraka

    Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana. Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55. Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea. Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili tarehe 28 ifike haraka?

    Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono. Yani kesho tu inachukua karne kufika. Mwamba britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti. Yani tunavyopenda umbea hatuwezi subiri. Hapa nilipo najilazimisha kulala ili masaa yaende faster lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kwa haya Madongo Tukuka ya Pastor Magogo wale 'TEAM NO KUOA' tubadilike na Tuoe haraka au ni mwendo mdundo tu Kutokuoa?

    Wengine tuseme tu Ukweli kuwa Uwoga wetu wa kuamua Kuoa unatokana na kwamba Sisi wenyewe Kutwa tu TUNAWABANDUA KISHALUBELA (KIKATILI) wale WALIOOLEWA sasa tunahisi kuwa nasi TUKIOA tu VISASI VITALIPIZWA kwa Wake zetu. Mtusamehe na Mtuvumilie ila hatutooa!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tv inauzwa haraka

    Habari Tv Ya solar max double glass,(vioo viwili) inauzwa 170000 na stand yake ya ukutani INch 32 nina shida ya haraka Nipo mabibo makutano 0781 493401 nicheki hii tv ni yangu natumia hapa officine haina kipengele chochote
  20. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…