QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA
_
Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo.
"Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
Hello
Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka
Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha nika ziweka jikoni zikichemka baada ya mda nika weka samaki vichemke kwasbabu samaki achelewi kuiva so...
Naomba mtusaidie, kwa leo tuu nimeona wamepotea watu wasiopungua watano, na ambao wanapotea bila taarifa hapo bado hatujajua.
Hembu hili jambo fanyeni kweli, sio jambo la kisiasa tena hili nahisi KUNA BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU INAFANYIKA.
JESHI LETU WAKATI NDIO HUU.
Leo nimeona watoto...
Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops).
Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP.
Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye...
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku getini mtoto haruhusiwi kupita getini.
Mbaya zaidi hadi wakati wa likizo kama huu walimu...
Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana.
Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55.
Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea.
Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu...
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono.
Yani kesho tu inachukua karne kufika.
Mwamba britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti.
Yani tunavyopenda umbea hatuwezi subiri.
Hapa nilipo najilazimisha kulala ili masaa yaende faster lakini...
Wengine tuseme tu Ukweli kuwa Uwoga wetu wa kuamua Kuoa unatokana na kwamba Sisi wenyewe Kutwa tu TUNAWABANDUA KISHALUBELA (KIKATILI) wale WALIOOLEWA sasa tunahisi kuwa nasi TUKIOA tu VISASI VITALIPIZWA kwa Wake zetu.
Mtusamehe na Mtuvumilie ila hatutooa!!!!
Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora:
1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k.
2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k.
3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
Habari
Tv Ya solar max double glass,(vioo viwili) inauzwa 170000 na stand yake ya ukutani
INch 32 nina shida ya haraka
Nipo mabibo makutano 0781 493401 nicheki hii tv ni yangu natumia hapa officine haina kipengele chochote
Kwenda kununua madini Congo - Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi, watu wengi maeneo hayo ni masikini kwa sababu hawana njia bora za kuuza au kusindika madini hayo. Mara nyingi huuza kwa bei ya chini sana kwasababu ya ukosefu wa miundombinu, soko na amani. kwenda utaenda vizuri tu lakini kutoka ni...
Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:-
Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.