Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence...