haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali: Ikiwa hazina ya nishati ya mafuta ipo basi haraka yachimbwe

    Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena. Serikali kama inavyofukua madini basi sasa wakati umefika wa kuivuta juu hazina ya mafuta, na kwa vile kiwanda cha...
  4. JamiiForums Tanzania Haya semeni haraka nije na Info ya huko Mwanza sasa au Niichunie tu ili Amani itawale na Wasivurugane?

    Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

    Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe... https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
  6. JamiiForums Tanzania Beki Che Malone Fondoh ni mgonjwa, anahitaji matibabu ya haraka

    Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
  7. JamiiForums Tanzania Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

    Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa umeme wa viwandani, wanahitajika haraka

    Salaam wakuu, Nime ona ni share Fursa hi ya nafasi za kazi zilizo patikana 👉Wana hitajika wataalamu wawili, wa kushughulikia maswala ya umeme wa viwandani. 👉Pamoja na mtu anae jua lugha ya kichina, kwa ufasaha vizuri. 👉Eneo la kazi ni Tanga na Daresalaam. 👉Ila Kuna vituo vya kuzungukia pia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za Ney wa Mitego ni ngumu kuliko za sifa boniventure. Sifa anaonewa. Aachiwe haraka

    Kauli za ney wa mitego ni ngumu kuliko za sifa. Sifa boniventure anaonewa. Aachiwe haraka. Hivi hiki kiwimbo Cha sifa kina maneno mazito Kama nyimbo ya amkeni ya ney? Kama sio why ney yupo nje na sifa yupo ndani? Tuachane na Hilo, twende kwa Lissu, Hivi kwa maneno ya lisu ukiyalinganisha na...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu brela

    Habari za wakati huu wapendwa Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei apewe Uwaziri wa Fedha haraka

    Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka 1. Tatizo la dollar 2. Tatizo la riba kuwa juu 3. Kuanzisha...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nafaka hizi zinahitajika haraka

    Habari, Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini. Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20 Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20 Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

    Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada. Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale. Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa. Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wana vichwa vyepesi kwenye pombe, wanalewa haraka sana na huwa na nguvu ndogo sana ya kujitambua tofauti na wanaume

    Kwa kweli nimeshajionea wanawake wengi kwenye pombe ni ngumu hata kuwa wanywaji, pombe kidogo tu unakuta tayari ishampanda kichwani kakolea. Wanawake pombe zikipanda ile nguvu ya maamuzi huwa inapungua sana kuzidi hata wanaume ambao angalau wanaweza kujihandle kimtindo. Na mfano mzuri ni hata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Najiuliza kama hataki nimpigie si angeniblock?Au anitumie sms nisimsumbue?

    Wakuu niaje sijawahi Omba ushauri Jf bt imebidi coz nahisi naenda kudata. Sitaki tuchoshane na stori,ndeeeeefu ila tu niambieni nimekosea nn mazee maana ni siku ya 5 sijiskii poa nahisi kama mwili mzima unauma na sijalala for fvckin days. Ni hivi... Juzi baada ya gemu ya Mnyama na Dodoma...
  18. JamiiForums Tanzania RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

    RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwl. Wema akamatwe kwa kumpoteza Mwanafunzi Warda Mohamed

    Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne...
  20. JamiiForums Tanzania Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

    Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii. Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi. Mikoa ya nyanda za juu jalibuni kuuangalia muda huu. Update Story iko hivi,. Nimetoka rod kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…