haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    Habari wakuu, Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa Maana nikirud home nakua nimechoka sana Asanteni
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa

    Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa Watanzania na serikali wanatamani sana kuona mradi wa mabasi yaendayo haraka unafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa faida. Kuna mifumo mingi bora ambayo serikali inaweza kuitumia ili...
  3. JamiiForums Tanzania Kama hamtojali naomba Ufafanuzi wa haraka juu ya haya mambo Matatu tu ya Umuhimu

    1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya? Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa haraka hapa napata pesa kiasi gani?

    Wataalamu hapa kuna bei gani wakuu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unatumia Apps hizi kwenye kifaa chako cha Android, ziondoe haraka. Ni hatari! | Xamalicious, a new dangerous Android 'copycat app'

    Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

    Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu, Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tumechoka sasa tunataka Vitambulisho vya Taifa vipatikane kwa haraka na uhakika

    Ni wazi Watanzania wengi hawana kitambulisho cha taifa yani hili suala la kutoa kitambulisho cha taifa hapa nchini limekuwa kama jambo la hiari kwa mamlaka husika hali inayoweza kuchochea uwepo wa rushwa. Suala la kupata kitambulisho cha taifa lisiwe biashara wala mizungusho kama vifaa hakuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Anayejua jina la wimbo huu aje

    Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Zinahitajika ivy leaves na senna pods haraka sana

    Kama una access nazo njoo inbox please..
  14. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

    Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini. Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongeza Mauzo Haraka kwenye Kituo cha Mafuta (Petrol Station/Fuel Station/Service Station)

    Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili jinsi ya kuongeza mauzo haraka kwenye kituo cha mafuta kwa kuzingatia mbinu za ubunifu na ufanisi...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  17. JamiiForums Tanzania Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

    P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
  18. JamiiForums Tanzania Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga! Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka...
  19. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Shadow circuit inaua kwa haraka kuliko mbinu yoyote ya kijasusi

    Tanzania inaishi kwenye shadow circuit development dilemma; mfumo ambao huna uwezo wa kuweka akiba kwa ajili ya kuendesha serikali bali unatumia makusanyo ya mwezi au kipindi flani kulipa salary na mambo mengine. Ukitaka kufanya jambo lolote la maendeleo lazima ukakope. Unaweza ukakopesheka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…