HAPO ZAMANI ZA KALE
''Hadithi, hadithi.''
Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu.
Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.''
Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...''
Simulizi itaanza.
Sijui nianzeje na sijui niseme kitu gani.
Kilichonisukuma kuweka picha hizo mbili ni...