Tsh 190 unapata mb 100 masaa 24 halotel watabaki juu mawinguni

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,891
HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24

Hapa unakuta ndo usiku bundle limekata na kuna issue ya muhimu unataka kuwasiliana na ndugu au miamala fulani ya kifedha au kuperuzi watsaap na google kusoma soma bando limekata na simu haina hela labda 200 tu ipo na mawakala na maduka wamefunga muda huu na kuna jambo la muhimu unataka kufanya mtandaoni unakutana na kifurushi kama hichi kwa kweli watabaki juu mawinguni

HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24
 
Back
Top Bottom