halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Halotel, VodaCom na Yas wapata masafa ya 5G kutoka mnada wa TCRA

    ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wawili washikiliwa kwa kushirikiana na Maafisa wa Halotel kuiba na kusafirisha vyuma vya minara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa kampuni ya mawasiliano ya Halotel linawashikilia watuhumiwa wawili, Adam Seleman Mwakitusya [48] dalali wa kusafirisha mizigo, mkazi wa ilemi na Sheki Mikidadi Chura [53] dereva, mkazi wa mwakibete Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuiba na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Customer care wa halotel ni wabovu?

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia mtandao wa Halotel lakini kila ninapohitaji msaada kupitia customer care napata usumbufu mkubwa. Ukipiga simu, unaweza usijibiwe kabisa au ukasubiri hata dakika 10 bila msaada wowote. Ukiandika kupitia mitandao yao ya kijamii wanajibu kwa kuchelewa au kwa ujumbe...
  4. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  5. Room 28

    JamiiForums Tanzania Natafuta waunga bundle za halotel?

    Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel ! Mimi ni mteja mzuri….. Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela. uaminifu muhimu
  6. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

    Watalaam Simu nayotumia ni iphon 11 Mnisaidie
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi halotel ukikosea kuingiza vocha mara ngapi wanafungia laini

    Samahani wakuu hivi halotel ukikosea kuingiza vocha mara ngapi wanafungia laini?
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia usajili namba zingine zilizosajiliwa kwa NIDA taarifa zinazokuja si za kweli, HALOTEL wafanyie kazi jambo hili kabla halijaleta mtafaruku

    Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 3 Technical staff at Mtwara Halotel

    JOB DETAILS: Description 1) Ensure the site management safety and working normally Setup lock for fence, machine room, tank fuel and generator. Clean the site: inside machine room, fan, the face of equipment. Check all alarm at site: • Cooperate with NOC to test external alarm 1 Ɵme / month...
  10. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania KERO Mtandao wa Halotel Tanzania umedorora kwa kiwango cha kushangaza, ukionyesha udhaifu mkubwa katika utoaji wa huduma za mawasiliano

    Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango cha 1GB kwa kila siku tatu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kasoro katika mfumo wa usimamizi wa data au...
  11. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Leo naacha Rasmi kutumia mtandao wa HALOTEL

    1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo la Halotel Mobile Wife mFi_0428F2

    Habari wana jukwaa. Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo. Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia connecting....then inaconnect halafu baada ya sekunde 30 inaleta insert sim. Wakati mwingine ukiiwasha...
  13. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza bando za internet za Halotel kwa bei rafiki

    Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bundle za halotel

    Nahitaji agents wa kuuza bundle za halotel na Yas 0658204909
  15. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Halotel acheni wizi

    Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data. Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote. Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
  16. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Halotel mbona hivi?

    Mtandao wenu mmeufanya kuwa wa hovyo. Hakuna kutoa pesa iwe benki au kwenu wenyewe. Hamtoi taarifa kuwa kuna changamoto. Mbona mnafanya dunia kuwa ya kizamani sana?
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
  18. josephbnd

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe kutoka Halotel kuwa nimejiunga na huduma ya AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi kuisikia

    Majira ya saa 10 jioni ya tarehe 09.12.2024 nimepokea ujumbe huu 1 na 2 (chini) kutoka mtandao wa Halotel Tanzania 🇹🇿 kuwa nimejiunga na huduma ya #AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi kuisikia. Na mbaya zaidi wanasema huduma ile siku ya kwanza BURE baada ya hapo makato yanaanza ya 200Tshs...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halotel Tanzania wanaunganisha wateja huduma bila ridhaa zao

    Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja. Ujumbe wa kwanza [AFYACHAP] Umefanikiwa kujiunga na huduma ya AfyaChap kutoka HALOTEL BURE kwa siku...
  20. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Halotel mjitafakari mmebakia nyie

    Habari ndugu wanajamvi. nitoe pole pole za dhati kwa watanzania WOTE ,kutokana na msiba na janga La kuanguka kwa jengo La kariakoo. Baada ya pole hiyo, nipende kutoa malalamiko YANGU kwenda kwa mtandao WA laini za simu, kampuni ya HALOTEL. Kampuni hii imeshindwa kulinda wateja wake kwa...
Back
Top Bottom